Kama unataka kumuona Mungu haraka, kosa pesa kwenye huduma za hospital za serikali

Kama unataka kumuona Mungu haraka, kosa pesa kwenye huduma za hospital za serikali

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,525
Watu wanakufa sio kwa kusingizia sijui mungu kapanga ni uwongo.

Wanaopanga vifo mfe ni hizi hospital zetu za serikali asilimia kubwa.

Yani mtu unaumwa na pesa umekosa au ujatoa kidogo wakuokoea ,Wanaweza kukuacha hapo unajiona.

Kuna mzee mmoja alinyimwa kifaa cha kupumulia kisa pesa ya kulipia hana,tumezika jana.
 
Sasa mkuu,haujafikilia hata kuwa watu wenye pesa nao hufa? Kufa ni lazima
 
Kuna mzee mmoja alinyimwa kifaa cha kupumulia kisa pesa ya kulipia hana,tumezika jana.
Tunamlaumu nani ambae yupo madarakani tangu nchi ya Tanganyika ipate Uhuru?
 
Wodi ya nini hio Wajawazito?
Nope, ya wanaume. Mgonjwa akiingia kutoka salama ni mara chache sana pale. Mgonjwa akiwa anazingua dawa aidha afinywe au wahudu wazire kumpa dawa. Kama unapesa ni bora umpeleke private ward tu.
 
Nope, ya wanaume. Mgonjwa akiingia kutoka salama ni mara chache sana pale. Mgonjwa akiwa anazingua dawa aidha afinywe au wahudu wazire kumpa dawa. Kama unapesa ni bora umpeleke private ward tu.
Wodi ya Wazee?
 
Back
Top Bottom