Kama unataka kulinda uchumi na afya yako acha mambo yafuatayo;

Hata ujitunzeje kufa kupo pale pale tu.

Fanya moyo unapenda ila kiwe kwa kiasi
 
Kwako Intelligent businessman dronedrake

Ewe kijana hasa wa kiume kama unataka kufanikiwa katika maisha yako acha mambo yafuatayo;

Kamwe usifanye ngono zembe. Yaani hata kama umeoa fanya kwa ajili ya kuzaa watoto tu si kwa ajili ya starehe. Ngono hukausha mifupa, ngono huleta uvivu, ngono humaliza uwezo wa kufikiri, ngono huleta magonjwa.

Kwa ambaye hujaoa usichuungulie uchi wa mwanamke kwa njia yoyote ile ile video au halisi. Usigusishe kiungo chako ovyo ovyo kwenye uchi wa wanawake. Wanawake wana mabalaa, mikosi, majini ya ukoo yaani ukikaa vibaya unachukua mikosi ya ukoo na yeye akachukua nyota. Kaulize utanipa majibu hapa.

Usivute bangi, sigara, shisha hulemaza ubongo hivyo uwezo wa kufikiri hupungua.

usibeti utakuja kunishukuru ni hasara na wanaofanikiwa ni wachache sana. Kubeti hudumaza akili pia hukupa uvivu wa kutofanya kazi.

Usifikiri kupitiliza juu ya vitu ambavyo huna uwezo navyo (overthinking) ni hatari pia.

Usijilinganishe, wanadamu tuna bahati na uwezo tofauti na njia tofauti za kutupa kipato. Hivyo usijilinganishe utaumia sana kitu ambacho kitakufanya kukata tamaa.

Usinywe pombe ili kupunguza mawazo, ulevi ukiisha mawazo yapo palepale.

Fanya yafuatayo,
kula mlo kamili kama una uwezo, fanya mazoezi, lala usingizi wa kutosha na usichelewe kuamka, tafuta kazi yoyote halali fanya ili mradi mkono uingie kinywani.
Barikiwa sana kiongozi kwa ushauri mzuri
 
Yaani baba wawili anigegede kwa ajili ya kunipiga mimba!!!!?
Hapa ni mwendo wa kulalana tu!
Siku nikitaka kuwa romantic namnywea wine,, nikitaka kuchangamka vizuri na kuwa steji shoo mzuri kwa lupaso napiga Kilimanjaro, tukitaka kupeana za ki hardcore tunapiga konyagi na mechi za kushtukiza ziko pale pale.
 
Yaani baba wawili anigegede kwa ajili ya kunipiga mimba!!!!?
Hapa ni mwendo wa kulalana tu!
Siku nikitaka kuwa romantic namnywea wine,, nikitaka kuchangamka vizuri na kuwa steji shoo mzuri kwa lupaso napiga Kilimanjaro, tukitaka kupeana za ki hardcore tunapiga konyagi na mechi za kushtukiza ziko pale pale.
Mmmmmh leo dada
 
masonic. yule mwamba aliamua kumpigia magoti shetani. usidanganyike naye



JESUS IS LORD&SAVIOR
😂😂😂😂 acheni hizi mambo bna, Yesu hahitaji kumchafua mtu ili uone ukuu wake.

Ukuu wa Yesu upo vizazi na vizazi bila kuwategemea kina Diamond.

Masonic unaijua wewe, ukiambiwa uichambue utaweza??

Yesu hahitaji usaidizi, hahitaji uichafue hiyo masinic usiyoijua ili yeye aonekane mkuu.

YESU NI MUNGU..
 
Usipo fanya hayo yote duniani utakuwa umekuja kufanya Nini Sasa kutalii maisha ni mara moja tu yaishi maana hayarudi tena siku ikipita ndio imepita ndio maisha yako
 
Usipo fanya hayo yote duniani utakuwa umekuja kufanya Nini Sasa kutalii maisha ni mara moja tu yaishi maana hayarudi tena siku ikipita ndio imepita ndio maisha yako
all in all is vanity
 
Back
Top Bottom