Kama unataka harusi nione

Status
Not open for further replies.
Bebii mi nataka mume vipi nayo nikuone?
Chagua mmoja hapa chini

Chika-Umeh-Jackson-Ike-White-Wedding-1-October-2011-BellaNaija-015-600x399.jpg
 
Bebii unaweza kupamba eneo kama hili ?.Ndo mdogo wangu anafanyia sherehe yake 29/10/2011.Kazi kwako
DSC00577.JPG
 
Bebii mbona kumbi zako zinaonekana ndogo za harusi za ki-mamtoni tuu. Si unajua huku kumbi lazima zi-accomodate kuanzia 300 to 800, si unajua masawee mama koku wote wanatakiwa waje shuhudia??
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom