Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,715
Nina dogo anafunga ndoa Jumamosi, anatafuta sehemu tulivu
1. Ya usiku wa harusi, ambayo inatakiwa kuwa hapa mjini kabisa.
2. Ya kuspend like 4 to 5 days baada ya usiku wa harusi akiwa na mke wake mpya.
Ananiuliza ni hotels gani nzuri ya budget ya kawaida , mfano usiku wa harusi like 200K na zile siku nyingine isizidi 100K.
Kama unafahamu hotels nzuri bagamoyo unaweza nisaidia