Mpenzi nialike kwenye harusi yako

Mpenzi wngu nialike kwenye harusi yako. Kama ukitaka naeza kua shaidi yako pia. Haikuandikwa mbinguni tuwe pamoja lakini naeza fanya kila kitu ili tu ue na furaha. Furaha yako ni ktu muhim sana kwangu. Nakutakia kla la heri ktk maisha yako mapya ambayo unatarajia kuyaanza ktk miezi michache ijayo.
Ili ukaangushe keki...kubali ushaachwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom