Unaweza kuliwa hivi hivi bila ridhaa yako
kuna kona unaweza banwa hata huyo ridhaa akashindwa kusema NO/HAPANA. Mjini biashara na wakijua una PESA utaliwa huku ukipigwa picha, afu uwekewe dau la kuzilipia vinginevyo watazitupia majukwaa ya wakubwa..
kazi kwelikweli..............
Cc: Tangopori...
peleka facebook.
safi iko wapi hapo!!!Safi sana