Ahsante sana 3D hawa CCM waondoke na wizi wao, huu ujinga wa kusema eti CCM peke yao ndo wanaweza dumisha amani, ni dhana potofu naikemea kwa NGUVU zote. hawa ndo wametufanya tuwe masikini sana hawa
Life span ya mtanzania ni chini ya miaka hamsini, watu ni wachafu na wamekondeana kwa kukosa lishe bora, wanatembea na vipande vya mifupa ya albino mifukoni 'eti ili wawe matajiri, asilimia ya wengi hawana elimu na wale wenye elimu hawana msaada kwa wenye elimu, na bado wanajiaminisha ni wajanja na wana amani na utulivu!!??? Hii hakika ni jumuia ya kima!!!
Aaaaah mkuu wangu nipakazie vipi na inaeleweka wazi kwamba CCM hawatakubali kushindwa. Chadema wameshindwa mara ngapi na hapakuwepo na vurugu, sasa leo CCM wakishindwa kwa mara ya kwanza sijui kama patatosha...Au Umesahau mwaka 2000 huko Pemba, Zanzibar?...
Maneno haya yameshapitwa na wakati - eti amani na mshikamano wakati unalala njaa, kweli kuna amani hapo - wakati wengine wananeemeka kirahisi kwa ufisadi -NEVER EVER!!
Tunaichagua CHADEMA iwe fundisho kwamba uhuru wa nchi hii na vyote vilivyomo ni mali ya wananchi wote na si wa koo au kikundi cha watu wachache wanaohubiri maisha bora ya ndotoni kwa kila mtanzania.
hizo ni sera za kuwadanganya na kuwhadaa watu wa vijiji ambao ndio wengi tanzania kwamba usipochagua CCm it means amani itatoweka kwa sisi wa mjini wenye uelewa wetu hiyo haingii akilini