Kama unajivunia kuwa mtanzania like hili bandiko halafu ukoment chochote kizuri kuhusu Tanzania

Uwezo wa kuoa mwanamke yoyote kutoka upande wowote wa TANZANIA. Love Tanzania
 
IMG_7094.jpg

Mwaaah Tanzania
 
Ukitaka kujua uzuri wa nchi yako toka nenda nchi za nje, nlienda masomoni asia acha tu ilipobaki wiki nirudi ndo nliona ni siku nyingi kuliko miaka nilokaa kule
 
1. Vyakala bongo utakuala utakacho na wanajua kupika dada zetu
2. Uroda, dada zetu ni cheap popote ndani ya nchi unapewa hata kwa buku
3. Uongo, bongo ukipiga uongo hamna noma iwe siasani au ibadani una hack vichwa vya watu wanajimaliza
4. Amani, bongo amani ipo ya kutosha kabisa ugomvi labda uanzishe wewe
5. Pesa, bongo utapata pesa sana ila kupata maendeleo ndio mziki ila hela utashika
6. Uchawi bongo ni kitu cha kawaida, mtu anaoga dawa na ibadani anaenda na usiku anavunja nazi, wanasema uchawi ndo ujanja usiporogq utarogwa
7. Upendo, wengi wanakupenda watakupa na michongo ila ukifanikiwa unageuka tishio kwao wanakuzima kama mshumaa...
8. Uvivu, bongo tunapiga kazi tunatafuta pesa mpaka nje ya nchi, huwa tunatumia akili pia ila shida ni kupenda shortcut
9. Uzalendo, Bongo wengi tunajitanguliza yaani tunapiga dili na wale wazalendo sana tunawafanyia figisu mpaka waungane na sisi
10. Umbea, bongo umbea ni sehemu ya maisha ya kawaida, wee tembea tu barabarani ila watu wanakujua nje ndani na tunapenda kuwacheka waliofeli na kusema kikowapi
..... itaendelea....
 
Back
Top Bottom