rich1
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,967
- 3,189
Biashara gan mkuuuu????Mimi kamtaji kangu ni 60m kwa siku nakunja 300,000 iliyosimama
Biashara gan mkuuuu????Mimi kamtaji kangu ni 60m kwa siku nakunja 300,000 iliyosimama
Wewe unahaja ya kuajiriwa,,,kibanda kipo maeneo gan?????karibu kwenye uwakala , hili goli langu ni banda tu na si fremu ya kulipia....leo tarehe 28/11...hapo bado airtel money na halopesa sijui, huwa hawaoneshi kama tgo na vodaView attachment 1275310View attachment 1275311View attachment 1275312
nipo dar mkuuWewe unahaja ya kuajiriwa,,,kibanda kipo maeneo gan?????
location haisominipo dar mkuu
Biashara gan mkuuuu????
Kuna kiwanda kilikuwepo maeneo ya dakawa moro...kilikuwa cha wazungu wlikua wnakausha hayo matunda karibia yote..hasahsa ndizi .mwee mbona wamefunga!wnaenda mwaka wa 3 ss..walikua wanaexport!
Matunda zaidi zaidi ndizi!..had embe!kifupi matunda na hizo nyanya!Kile si walikuwa wanakausha Nyanya wale Waholandi?
Katika biashara2za mashuleni unatakiwa uwe mbunifu wa kuteka akili za watoto kama core customers wako. Ice cream inalipa sana mashuleni nunuamachine utengeneze ice cream zuri alafu uza kwa jumla letsay 70 ili muuzaji wa mwisho auze100. Changamoto ni kuwa walimu wengi wameona fursa kwa hiyo kama unafanya biashara ya shule uwe na chanel na walimu. Kwani wao huendesha biashara kwenye vile vibanda vinavyozunguka shule.Nimekuomba mnoo unielekeze hii biashara mpka pm nimekuja ila kimya dada ,,msaada pls mwanamke mwenzio naadhirika
Kuna shule mwalimu mkuu nafahamiana naeKatika biashara2za mashuleni unatakiwa uwe mbunifu wa kuteka akili za watoto kama core customers wako. Ice cream inalipa sana mashuleni nunuamachine utengeneze ice cream zuri alafu uza kwa jumla letsay 70 ili muuzaji wa mwisho auze100. Changamoto ni kuwa walimu wengi wameona fursa kwa hiyo kama unafanya biashara ya shule uwe na chanel na walimu. Kwani wao huendesha biashara kwenye vile vibanda vinavyozunguka shule.
karibu kwenye uwakala , hili goli langu ni banda tu na si fremu ya kulipia....leo tarehe 28/11...hapo bado airtel money na halopesa sijui, huwa hawaoneshi kama tgo na vodaView attachment 1275310View attachment 1275311View attachment 1275312
Mwezi huu huu kuna mtu nimrkutana naye kwenye mishe za kazi...ni hustler .kazichanga ..nikamuuliza ishu zake...hakunificha...akaniambia unataka kuwa milionea haraka?nikamwambia sema kwanza nijipime...akasema peleka mara 2 tu Burundi bangi..lima tabora!..hhahaa nikaishia ku!...akasema usizidi hapo...! ...uwiii hapana aisee
Miaka 3 nyuma nilienda kufata kuku wa business sehemu yule mwenyeji wangu akanipa idea hyo yaani yeye ndo mishe zake na ana good life mnooo....kanibembeleza sanaa ila mi nkachomoa sasa siku moja Niko kwenye mishe ingine nkakuta na afande mmoja hv nkamuelezea akanambia we fala kweli unnaachaje hela wewe piga mishe hyoooo inalipa vibaya mnooo..
Akaniomba namba za mshikaji yeye aingie kati kufanya Mimi nkajua utani bwana aliniganda mpk Mda huu nakuambia Afande anafanya business na yule jamaa wananiita muoga wa maisha
Sijajwahi test madini ila soon ntaanza ila mkuu nimeikubali hiyo risk management yako
Duh ngoja nipambane mkuu uenda kuna siku nitamanya chimbo kama lakomkuu inawezekana, amini usiamini, mimi ninayo mabanda matatu now , halafu yote yapo karibu karibu tu, kila moja halishuki jumla ya kamisheni m 1 kwa mwez, hilo nililokuonesha picha huwa linafika total 1.5m
N.B
Location matters, hapa nilipo kuna mzunguko sana wa watu wengi
Saafi mmekumis mpk naumwaaMambo hony
ndio, kamisheni ndio faida yako na inalipwa kila mwisho wa mweziSamahani hiyo kamisheni ndio malipo yako,?
Na unalipwa kila mwezi au
Mambo hony
...Saafi mmekumis mpk naumwaa
ndio, kamisheni ndio faida yako na inalipwa kila mwisho wa mwezi