Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Nimekuomba mnoo unielekeze hii biashara mpka pm nimekuja ila kimya dada ,,msaada pls mwanamke mwenzio naadhirika
Katika biashara2za mashuleni unatakiwa uwe mbunifu wa kuteka akili za watoto kama core customers wako. Ice cream inalipa sana mashuleni nunuamachine utengeneze ice cream zuri alafu uza kwa jumla letsay 70 ili muuzaji wa mwisho auze100. Changamoto ni kuwa walimu wengi wameona fursa kwa hiyo kama unafanya biashara ya shule uwe na chanel na walimu. Kwani wao huendesha biashara kwenye vile vibanda vinavyozunguka shule.
 
Kuna shule mwalimu mkuu nafahamiana nae
Nitamtafuta niongee nae ili nifanye
 
Miaka 3 nyuma nilienda kufata kuku wa business sehemu yule mwenyeji wangu akanipa idea hyo yaani yeye ndo mishe zake na ana good life mnooo....kanibembeleza sanaa ila mi nkachomoa sasa siku moja Niko kwenye mishe ingine nkakuta na afande mmoja hv nkamuelezea akanambia we fala kweli unnaachaje hela wewe piga mishe hyoooo inalipa vibaya mnooo..
Akaniomba namba za mshikaji yeye aingie kati kufanya Mimi nkajua utani bwana aliniganda mpk Mda huu nakuambia Afande anafanya business na yule jamaa wananiita muoga wa maisha
Mwezi huu huu kuna mtu nimrkutana naye kwenye mishe za kazi...ni hustler .kazichanga ..nikamuuliza ishu zake...hakunificha...akaniambia unataka kuwa milionea haraka?nikamwambia sema kwanza nijipime...akasema peleka mara 2 tu Burundi bangi..lima tabora!..hhahaa nikaishia ku!...akasema usizidi hapo...! ...uwiii hapana aisee
 
Miaka 3 nyuma nilienda kufata kuku wa business sehemu yule mwenyeji wangu akanipa idea hyo yaani yeye ndo mishe zake na ana good life mnooo....kanibembeleza sanaa ila mi nkachomoa sasa siku moja Niko kwenye mishe ingine nkakuta na afande mmoja hv nkamuelezea akanambia we fala kweli unnaachaje hela wewe piga mishe hyoooo inalipa vibaya mnooo..
Akaniomba namba za mshikaji yeye aingie kati kufanya Mimi nkajua utani bwana aliniganda mpk Mda huu nakuambia Afande anafanya business na yule jamaa wananiita muoga wa maisha

🤣🤣🤣!uwii kudakwa uwekwe ndan mama na familia dah noma mno🤣🤣🤣!
 
Sijajwahi test madini ila soon ntaanza ila mkuu nimeikubali hiyo risk management yako

IMG_0388.JPG
 
mkuu inawezekana, amini usiamini, mimi ninayo mabanda matatu now , halafu yote yapo karibu karibu tu, kila moja halishuki jumla ya kamisheni m 1 kwa mwez, hilo nililokuonesha picha huwa linafika total 1.5m

N.B
Location matters, hapa nilipo kuna mzunguko sana wa watu wengi
Duh ngoja nipambane mkuu uenda kuna siku nitamanya chimbo kama lako
 
Back
Top Bottom