Kama unahonga mwanamke honga kitu ambacho hakitakuja kukuumiza

Kama unahonga mwanamke honga kitu ambacho hakitakuja kukuumiza

Nilete uzi huu jf kuna watu wamekuwa wakilizwa na mapenzi na wengine kuapa kutokurudia kutafta wenza,wengi wanalia kwa sababu kubwa waliwahonga wapenzi wao vitu vinavowaumiza
Sasa ndugu yangu mm sikukatazi kuhonga we honga kila unachoweza lakn jua kwamba ikitokea mpenzi wako mkaachana hautaumia,unaeza honga nyumba,gar na hata kumsomesha mpenzi wako ila tu akikuacha fanya kama sadaka ipite
Sasa mwenzangu unapohonga vitu vya thaman na mwishowe akakuacha inabid ujilaumu ww kwa sababu ulibeba majukumu yasokuhusu mfano unamsomesha mwanamke,unamjengea nyumba akishakukimbia unabak unalalama na kudai unamwachia Mungu,ndugu yangu Mungu kuna lawama hata haziangalii maana hamna sehm Mungu ameagiza kwamba msomeshe mwanamke akimaliza umuoe.ko take note kuna vitu vidogo vya kumpa mtu kwenye uhusiano so mpaka uhonge gar ndo uonekane unapendwa hope nmeeleweka

BORA ya mie ninae TUNUKU....

kuhonga sio masikhara
 
Back
Top Bottom