Kama unahonga mwanamke honga kitu ambacho hakitakuja kukuumiza

Kama unahonga mwanamke honga kitu ambacho hakitakuja kukuumiza

Atakuwa alikutunuku...au na wewe ulitoa service inayolingana na hicho kibunda?
Wallah tena nililetewa halafu akasepa time hiyohyo wala hatukugusana mpk mwezi ulipita baada ya hapo coz tunaishi mbali mbali.....niseme alinitunuku
 
Wallah tena nililetewa halafu akasepa time hiyohyo wala hatukugusana mpk mwezi ulipita baada ya hapo coz tunaishi mbali mbali.....niseme alinitunuku

Basi hapo sawa...maana hii Ukihongwa na ukajua umehongwa lazima nafsi ikusute...na wewe uwajibike kuitumikia ile Hongo
 
Maandiko yanasema hazina yako ilipo ndipo MOYO wako ulipo sasa unahonga Pesa mwanamke lazma akikuacha au kukusaliti uumie adi wengine kufikia kujiua kumbe mioyo yenu mliwapa wanawake....muwe makini ni bora kuweka hazina mbinguni ambako wezi hakuna...
 
Napenda Sana Kuwahonga wanawake wa JF tuu wengine Sina Mzuka nao.
 
Unamhonga demu mamilioni,nyumba,gari halafu anakuacha?.....nakuachaje uendelee kutesa sas,kwani waganga wamekufa?....
 
Back
Top Bottom