Kama unahonga mwanamke honga kitu ambacho hakitakuja kukuumiza

Kama unahonga mwanamke honga kitu ambacho hakitakuja kukuumiza

Senorita23

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
389
Reaction score
489
Nilete uzi huu jf kuna watu wamekuwa wakilizwa na mapenzi na wengine kuapa kutokurudia kutafta wenza,wengi wanalia kwa sababu kubwa waliwahonga wapenzi wao vitu vinavowaumiza
Sasa ndugu yangu mm sikukatazi kuhonga we honga kila unachoweza lakn jua kwamba ikitokea mpenzi wako mkaachana hautaumia,unaeza honga nyumba,gar na hata kumsomesha mpenzi wako ila tu akikuacha fanya kama sadaka ipite
Sasa mwenzangu unapohonga vitu vya thaman na mwishowe akakuacha inabid ujilaumu ww kwa sababu ulibeba majukumu yasokuhusu mfano unamsomesha mwanamke,unamjengea nyumba akishakukimbia unabak unalalama na kudai unamwachia Mungu,ndugu yangu Mungu kuna lawama hata haziangalii maana hamna sehm Mungu ameagiza kwamba msomeshe mwanamke akimaliza umuoe.ko take note kuna vitu vidogo vya kumpa mtu kwenye uhusiano so mpaka uhonge gar ndo uonekane unapendwa hope nmeeleweka
 
Dunia ya sasa hakuna kuhongana,maana wote sasa ni haki sawa wanaume tunatoka alfajiri wanawake nao wanatoka alfajiri then kila mtu atumie kile anachokitafuta.

Budget ya kuhonga ihamishiwe kwa wazazi,kusaidia ndugu etc maana wengi wetu tumetoka ktk familia zisizo tajiri so tusaidiane.ila hii haita-apply kwa mwanamke asiye na kazi.

Najua nitarushiwa mawe ila haya ndo mawazo yangu.
 
Nmesema hvo kwa sababu kesi kuhonga n nyingi juz jamaa alikuwa anawaza kumtoa roho mtu et kisa ndani miez minne keshahonga 8M inamaana kilichokuwa kinamuuma s mapenzi bali n pesa,utasikia mwingine at nilmsomesha mara hk
 
Dunia ya sasa hakuna kuhongana,maana wote sasa ni haki sawa wanaume tunatoka alfajiri wanawake nao wanatoka alfajiri then kila mtu atumie kile anachokitafuta.

Budget ya kuhonga ihamishiwe kwa wazazi,kusaidia ndugu etc maana wengi wetu tumetoka ktk familia zisizo tajiri so tusaidiane.ila hii haita-apply kwa mwanamke asiye na kazi.

Najua nitarushiwa mawe ila haya ndo mawazo yangu.
Kuhonga kupo sana tu
 
Mzee wa miaka mingi kuna siku kaja kufata gari kwa mrembo mmoja mfanyakazi mwenzetu. Ilikuwa aibu ya mwaka maana mrembo alijuwa kuturingishia na gari lile. Kumbe mrembo baada ya kupata danga jipya kabadili namba na akamtosa mzee wa watu kilichotokea ndio hiko. Ukihongwa vile vile usijiachie sana uwe unakumbuka kulipa shukrani kidogo
 
Back
Top Bottom