Kama unahonga mwanamke honga kitu ambacho hakitakuja kukuumiza

Kama unahonga mwanamke honga kitu ambacho hakitakuja kukuumiza

kuna watu ni wagonjwa wa kuhonga,anahonga bila kuombwa,yani kuhonga kwake inakuwa n starehe na wajibu
 
Kuhonga ni ishara ya weakness, kitojiamini, kutojitambua na unyonge. Mwanaume strong na anayejiamini huongea na ku make friends na akiona vema humpatia mpenzi wake zawadi na si kuhonga honga
 
Ukitaka usiumie, usikubali kujua mahitaji yake, akikuomba hela mpe hauna mwambie lakini usiulize ya nini, hautakuja kusahau kamwe lakini hela inasahaulika, kuikumbuka labda uwe na njaa na hauna nna.
 
Nilete uzi huu jf kuna watu wamekuwa wakilizwa na mapenzi na wengine kuapa kutokurudia kutafta wenza,wengi wanalia kwa sababu kubwa waliwahonga wapenzi wao vitu vinavowaumiza
Sasa ndugu yangu mm sikukatazi kuhonga we honga kila unachoweza lakn jua kwamba ikitokea mpenzi wako mkaachana hautaumia,unaeza honga nyumba,gar na hata kumsomesha mpenzi wako ila tu akikuacha fanya kama sadaka ipite
Sasa mwenzangu unapohonga vitu vya thaman na mwishowe akakuacha inabid ujilaumu ww kwa sababu ulibeba majukumu yasokuhusu mfano unamsomesha mwanamke,unamjengea nyumba akishakukimbia unabak unalalama na kudai unamwachia Mungu,ndugu yangu Mungu kuna lawama hata haziangalii maana hamna sehm Mungu ameagiza kwamba msomeshe mwanamke akimaliza umuoe.ko take note kuna vitu vidogo vya kumpa mtu kwenye uhusiano so mpaka uhonge gar ndo uonekane unapendwa hope nmeeleweka
Safi
 
Back
Top Bottom