Kama unahonga mwanamke honga kitu ambacho hakitakuja kukuumiza

Kama unahonga mwanamke honga kitu ambacho hakitakuja kukuumiza

Mzee wa miaka mingi kuna siku kaja kufata gari kwa mrembo mmoja mfanyakazi mwenzetu. Ilikuwa aibu ya mwaka maana mrembo alijuwa kuturingishia na gari lile. Kumbe mrembo baada ya kupata danga jipya kabadili namba na akamtosa mzee wa watu kilichotokea ndio hiko. Ukihongwa vile vile usijiachie sana uwe unakumbuka kulipa shukrani kidogo
Mbona hujamalizia ikawaje baada ya mzee wa watu kufika hapoo
 
Bado sijabahitaka kuhongwa[emoji4]
Mungu asaidie uhongwe .....kuohngwa raha sana asikwambie MTU kuna siku nlikabidhiwa kitita cha pesa sikuamini kama ni Mimi asee
 
Nmesema hvo kwa sababu kesi kuhonga n nyingi juz jamaa alikuwa anawaza kumtoa roho mtu et kisa ndani miez minne keshahonga 8M inamaana kilichokuwa kinamuuma s mapenzi bali n pesa,utasikia mwingine at nilmsomesha mara hk
Huyo chizi miezi minne kahonga mil 8?....wallah nguvu za Giza zimetumika hapo .......
 
Mzee wa miaka mingi kuna siku kaja kufata gari kwa mrembo mmoja mfanyakazi mwenzetu. Ilikuwa aibu ya mwaka maana mrembo alijuwa kuturingishia na gari lile. Kumbe mrembo baada ya kupata danga jipya kabadili namba na akamtosa mzee wa watu kilichotokea ndio hiko. Ukihongwa vile vile usijiachie sana uwe unakumbuka kulipa shukrani kidogo
Hili nalo neno
 
Mi Napendaga kumhonga Mwanamke Kitu ambacho Kitamfanya siku zoote Anikumbuke mimi! Tuu na sio Mwingine....
 
M cjakataza kuhonga ila nmesema stak urud kulia hapa
Hahahaha me nahonga kulingana nakipato changu kipato kinapoongezeka ndipo namimi napoongeza kasi yakuhonga
 
Weee. Hata uhonge pipi ukiachwa pipi yako utakuuma kumpa mtu asie na shukrani
 
Huyu kahonga ela ya mawazo, sasa kakosa vyote anajutia ela zake
Ndo akome ....ye mwenyew ana jero anataka kuhonga 350 sasa hii akili au matope??? Ukiona unamiliki mfano mil 100 kumpa mwanamke wako mil 8 au kumi ni sawa tu ......
 
Back
Top Bottom