Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,740
- 21,874
Exactly .... sura hutupa hamasa sana kumwaga pesa kwa jinsia KE
Sina bahati basi
Exactly .... sura hutupa hamasa sana kumwaga pesa kwa jinsia KE
Pole yako mkuu...Sina bahati basi
Pole yako mkuu...
hahahaaaaaaWengine walihonga dissertation
Pole missBado sijabahitaka kuhongwa[emoji4]
Njoo pmBado sijabahitaka kuhongwa[emoji4]
AsanteeePole miss
[emoji109]
Ndio wapi huko?Njoo pm
nakuja PM nijaribu bahati yanguBado sijabahitaka kuhongwa[emoji4]
Wengine wilaya [emoji23][emoji23][emoji23]Wengine walihonga dissertation
safi kabisaMzee wa miaka mingi kuna siku kaja kufata gari kwa mrembo mmoja mfanyakazi mwenzetu. Ilikuwa aibu ya mwaka maana mrembo alijuwa kuturingishia na gari lile. Kumbe mrembo baada ya kupata danga jipya kabadili namba na akamtosa mzee wa watu kilichotokea ndio hiko. Ukihongwa vile vile usijiachie sana uwe unakumbuka kulipa shukrani kidogo
Huyu kahonga ela ya mawazo, sasa kakosa vyote anajutia ela zakeTafuta hela ....ukiona MTU kahonga gari basi uwezo wake ni wa kumiliki magari tena ndinga za maana sio vi ist so akitoa ka Toyota premio kamoja = hajapoteza .....wewe mwenye hela za ngama ndo usihonge juu ya uwezo wako ukaja kulilia watu kichwani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]m ukinihonga sahau kabisaMzee wa miaka mingi kuna siku kaja kufata gari kwa mrembo mmoja mfanyakazi mwenzetu. Ilikuwa aibu ya mwaka maana mrembo alijuwa kuturingishia na gari lile. Kumbe mrembo baada ya kupata danga jipya kabadili namba na akamtosa mzee wa watu kilichotokea ndio hiko. Ukihongwa vile vile usijiachie sana uwe unakumbuka kulipa shukrani kidogo