Kama unahitaji mpenzi

Kama unahitaji mpenzi

pottasium

Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
91
Reaction score
5
Kama umetendwa au unahtaj mpenz hujachelewa cha muhimu weka sifa za mpenz unayetaka kuwa naye tabia pamoja na mwonekano wa nje kisha weka namba yako hapa subiri baada ya nusu saa utapokea simu nakutakia mahaba mema ila uwe mwaminifu kwa mwenz wako
 
kama umetendwa au unahtaj mpenz hujachelewa cha muhimu weka sifa za mpenz unayetaka kuwa naye tabia pamoja na mwonekano wa nje kisha weka namba yako hapa subiri baada ya nusu saa utapokea simu nakutakia mahaba mema ila uwe mwaminifu kwa mwenz wako

loading....
 
Potassium Sorbate... Unawatoa wapi? Isije ikawa ni wa klain
 
Kama umetendwa au unahtaj mpenz hujachelewa cha muhimu weka sifa za mpenz unayetaka kuwa naye tabia pamoja na mwonekano wa nje kisha weka namba yako hapa subiri baada ya nusu saa utapokea simu nakutakia mahaba mema ila uwe mwaminifu kwa mwenz wako
Wewe ni me au ke? Tuanze na wewe kiungo mkabaji.
 
Kama umetendwa au unahtaj mpenz hujachelewa cha muhimu weka sifa za mpenz unayetaka kuwa naye tabia pamoja na mwonekano wa nje kisha weka namba yako hapa subiri baada ya nusu saa utapokea simu nakutakia mahaba mema ila uwe mwaminifu kwa mwenz wako

Makubwa Mwashelii mie... looh!!!! Haya ngoja waje.
 
Sasa huo ni udalaliii??? au ukuwadi???? Na hao wapenz wapo stend by kudaka vichwa!!! Hahahahahaha.....makubwa!!!
 
Hongera Pottasium Permanganate
Utasafisha nyoyo pweke nyingi na kuzifanya zing'ae
 
Deal ni deal lakini hii ya professional kuadirism kali. Ukuadi kaka mgumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom