Kuna kupenda kupita kiasi madhara yake ndio hayo na ndio maana kudanga imekuwa ni biashara kwa wadada wengi wa mjini badala wafanye kazi za kihalali zakuwaingizia mapato wanatafuta shortcut ambazo zinawasaidia kwa muda mfupi lakini zinawaletea madhara ya muda mrefu.Hakuna hela tamu kama ile ambayo unapata kwa jasho lakoHakuna asiependa hela.
Unaweza ukanitumia hiyo video kwenye PM yangu kama hautajaliNimeona hiyo video jana
Nikasononeka sana moyoni
Mungu atunusuru sisi na vizazi vyetu…
Hayo ndio madhara yakutafuta maisha ya shortcut mbona mama zetu wamefanikiwa bila hizi nyia zisizohalaliHawa wadada jamani kazi ipo
Daa,tunakoelekeaaa....Tusimsingizie shetani, shetani hawezi kukubali tule nnya kisa pesa
Labla link maana sina kwenye simuUnaweza ukanitumia hiyo video kwenye PM yangu kama hautajali
Hakika cutePesa sio shetani ila mashetani ni watu
Ukiandika hivi nakuelewa.Kuna kupenda kupita kiasi madhara yake ndio hayo na ndio maana kudanga imekuwa ni biashara kwa wadada wengi wa mjini badala wafanye kazi za kihalali zakuwaingizia mapato wanatafuta shortcut ambazo zinawasaidia kwa muda mfupi lakini zinawaletea madhara ya muda mrefu.Hakuna hela tamu kama ile ambayo unapata kwa jasho lako
Video iliyo saved kwenye simu unawekaje link?Sasa kama huwezi kuweka hata link unataka tukuamini kwa uongo tu?
Pole sanaNimeona hiyo video jana
Nikasononeka sana moyoni
Mungu atunusuru sisi na vizazi vyetu…
Haya naomba unirushie linkLabla link maana sina kwenye simu
Inatia kinyaa sana
Basi nirushie Pm mbona unabada kiasi hichoUngeiona video je?
Duh, mkuu unavyoiwinda kwa upole hiyo video.Unaweza ukanitumia hiyo video kwenye PM yangu kama hautajali
Angejua akiiona hali leo usiku asingekua anabembeleza hivoduh, mkuu unavyoiwinda kwa upole hiyo video.
Acha niwinde aisee sijawahi kuona hiki kitu katika maisha yangu yote ndo kwanza leo Ndio maana nataka nione kwa macho yanguduh, mkuu unavyoiwinda kwa upole hiyo video.
Nakuona mkuu, mtu akionesha dalili tu za kuwa nayo unaye.Acha niwinde aisee sijawahi kuona hiki kitu katika maisha yangu yote ndo kwanza leo Ndio maana nataka nione kwa macho yangu
Ni uhitaji tu wa pesa ndo unawapelekea kufanya hvoHao wadada wajinga sana, nikitaka tapika
Sio yeye tu hata mi naitaka kuona maana siamini kabisa mtu kulishwa jivi la motomoto live.Mdau unataka kumuona mtu akila mavi ya mtu na video unaomba kabisa?