KAMA UNADHANI WEWE NDIYO TOZI KUJA HAPS UJIONEE KUBWA LA MATOZI

hahahahahaaaaaaa, mkuu atakushtaki kwa kumuanika mtandaoni
Huyo mshikaji anapenda kiki kinoma atafurahi akipita humu kama yumo !hata simu anazo tumia japo midosho ni ile mi tablet halafu jamaa sio kimbaumbau ana mwili ulioshiba tena mgomvi mgomvi fulani hivi kwa nguvu ya gym hayo manguo yanamfanya aonekane mwil mdogo ila akivaa za kufit ana m reaemble kala pina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha mbali mkuu kitu walkman redio..
1a2318e483a73ad32ec24fa49ec0d9b1.jpg
ahhhaah mimi nilikuw nachomoa mota nafunga kwenye magari ya mipira sasa wenyewe wakirudi nilikuwa nakula kichapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom