Kama unabisha jaribu hii na uone....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama unabisha jaribu hii na uone.......

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Manyanza, Jul 16, 2012.

 1. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Chukua calculator au tumia Calculator yako ya simu na ufanye hii hesabu.........
  Chukua 259 zidisha kwa umri wako, jibu utakalolipata zidisha kwa 39 na utapata jibu lenye tarakimu 6 na kila tarakimu mbili zitamaanisha umri wako...
  Usibishe jaribu ujionee mwenyewe
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  kama sibishi????
   
 3. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kama haubishi basi wewe ni muungwana
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wakaguzi wakukague ndipo ieleweke kwamba sio mbishi
   
 5. BABU CHONDO

  BABU CHONDO JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Dah ni kweli,nimejaribu.

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
Loading...