Kama unaamini unapendwa unajidanganya

Hahah!! Watu mnapitia magumu hadi mnadhan kila mtu ana hali kama hiyo. Mapenzi ya kweli yapo bila haa kuzingatia una hali gani.
 
Hahaaa
 
Mtazamo wangu.
Wanaume tunaitaji Wanawake/Mwanamke, Ila tambua mwanamke hakuitaji wewe Ila anaitaji Pesa yako/ Anahitaji kuhudumiwa, pia mwanamke anaitaji Faida kwanza kwenye mapenzi. Na Ndio maana mwanamke ukimtongoza tu kila shida utapewa, pia mwanamke amemchukulia Mwanaume Kama kitega uchumi, mwanamke Hata awe na kazi, Pesa yake Ni yake, na Pesa yako Ni yake.
Kiufupi Sasa hivi, mapenzi Hakuna watu wapo kimaslahi zaidi...
Wanawake wanaongoza mwanamke avui chup mpaka awe amekula Sana Pesa zako ndo atakupa, hapo maslahi tu.
 
mijadala ya ndoa na hela inaletwa kila siku nasisi wanaume!,kwani jinsia ya wenzetu hawana malalamiko..??
mbona kama kuna kitu tunafanywa na hawa wenzetu na wametulia tuli dawa ituingie..😂
😂😂😂wenzetu wanalalamikia vibamia na kuwa tunawatelekeza njiani hatuwafikishi kirimanjaro kileleni.
 
Hakunaga zaidi yangu me na yeye, hakunaaaga.
 
Hata zamani ukienda kutambulishwa ni lazima uue Simba au ulete magovi ya maadui zenu
 
Saiv ni pesa tu unapoingia kwenye mahusiano ujipange..
 
Hili tulishaongea hapa pia.

 
Aa, kwa ujinga sio! Haina noumaa.
 
Hao wamedumu kwa sababu ya pesa,mosha Davis wameachana sababu ya pesa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…