Kama una stress please read this...

Kama una stress please read this...

Nilienda kwa mganga wa jadi,baada ya matibabu akawa anadai malipo c ndo nikamuonyesha bima ya afya... Kilichotokea hata mi mwenyewe ckumbuki ila nimejikuta niko Lugalo juu ya bati cjui hata ni nyumba gani ila naona kama wanajeshi kwa chini.
 
UTABIRI WA HALI YA MTOTO WAKO HAPO BAADAYE..
1.Akitumwa hataki kurudisha change, huyo mlipoti haraka takukuru mla rushwa huyo
2.Akikutana na wenzie anajidai kuwa kwao kuna pesa nyingi wakati wewe huna kitu -huyo bongo move.
3.anakatalia kwenye dishi wakati wa kuogeshwa, thank God, huyo atakuwa dereva wa ferry/boat...
4.akitumwa anaomba pesa ya peremende, umepata trafiki hongera...
5.Analala chini ya meza, viti,na hujichafua, huyo fundi makenika...
6.Analala sana Darasani, congratulations! huyo ni Mbunge
7.Ukimchapa nalia lakini ukimuita anakuja bila kuogopa-huyo ni Arsenal wenger.
8.Anabembea kwenye viti ,meza nk.huyo ni kondakta usipoteze muda
9.haogopi giza hata kama ni saa ngapi, huyo atakuwa mlinzi wala usiogope
10.Anakuomba pesa ya pipi anarudi na biskuti huyo wema sepatu huyo
 
W
VIJANA WATATU MTANZANIA, MKENYA NA MRWANDA WALIKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA HUKO CHINA. KAMA TUJUAVYO SHERIA ZA CHINA UKIKAMATWA NA HIZO BIDHAA BASI WEWE NI MAREHEMU (UNAUWAWA). BAADA YA JAMAA KUKAMATWA WACHINA WAKAAMUA KUWAPA ADHABU BADALA YA KUWAUWA BUT KWA SHARTI MOJA.
WALIAMBIWA WAINGIE MSITUNI NA KILA MMOJA ALETE MATUNDA KUMI YA AINA YOYOTE ATAKAYOPATA BUT YAWE YA AINA MOJA.

BASI WANAUME WAKAONA AFADHALI, WAKAINGIA MSITUNI NA BAADA YA MUDA MRWANDA AKAWA WA KWANZA KUTOKA, ALIKUA NA MA-APPLE KUMI. KUMBE SHARTi LILIKUA KUMEZA MATUNDA ULIYOLETA MOJA MOJA NA ZIMAZIMA BILA KUTAFUNA WALA KUPEPESA MACHO.

JAMAA AKAMEZA LA KWANZA LAPILI AKASHINDWA KWANI LILIMKABA NA AKAPIGWA RISASI AKAFA,
WAPILI AKAWA MKENYA, YEYE AKATOKA NA VITUNDA VIDOGO DOGO SANA KAMA PIPI KIFUA, AKAPEWA MUONGOZO AKAANZA KUVIMEZA BUT ALIPOFIKA CHA NANE AKACHEKA NA WACHINA WAKAMLAMBA RISASI.....
BAAADA YA KUFA HUKO KUZIMU SASA MRWANDA AKAMUULIZA MKENYA, ''vp kaka mbona ulikua na vitunda vidogo vidogo then ukashindwa kumaliza''?

BASI MKENYA AKAJIBU,,,,''kaka achaaa, nlipofika tunda la tisa nkamwona mtanzania anakuja na matikiti kumi.............''
(watanzania kwa kupenda sifaa....haya sasa ayameze tuonee)
Wonderful
 
Naona hata vichekesho siku hizi vimekuwa bidhaa adimu.
 
Back
Top Bottom