Kama una stress please read this...

Kama una stress please read this...

dikembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
1,645
Reaction score
1,439
VIJANA WATATU MTANZANIA, MKENYA NA MRWANDA WALIKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA HUKO CHINA. KAMA TUJUAVYO SHERIA ZA CHINA UKIKAMATWA NA HIZO BIDHAA BASI WEWE NI MAREHEMU (UNAUWAWA). BAADA YA JAMAA KUKAMATWA WACHINA WAKAAMUA KUWAPA ADHABU BADALA YA KUWAUWA BUT KWA SHARTI MOJA.
WALIAMBIWA WAINGIE MSITUNI NA KILA MMOJA ALETE MATUNDA KUMI YA AINA YOYOTE ATAKAYOPATA BUT YAWE YA AINA MOJA.

BASI WANAUME WAKAONA AFADHALI, WAKAINGIA MSITUNI NA BAADA YA MUDA MRWANDA AKAWA WA KWANZA KUTOKA, ALIKUA NA MA-APPLE KUMI. KUMBE SHARTi LILIKUA KUMEZA MATUNDA ULIYOLETA MOJA MOJA NA ZIMAZIMA BILA KUTAFUNA WALA KUPEPESA MACHO.

JAMAA AKAMEZA LA KWANZA LAPILI AKASHINDWA KWANI LILIMKABA NA AKAPIGWA RISASI AKAFA,
WAPILI AKAWA MKENYA, YEYE AKATOKA NA VITUNDA VIDOGO DOGO SANA KAMA PIPI KIFUA, AKAPEWA MUONGOZO AKAANZA KUVIMEZA BUT ALIPOFIKA CHA NANE AKACHEKA NA WACHINA WAKAMLAMBA RISASI.....
BAAADA YA KUFA HUKO KUZIMU SASA MRWANDA AKAMUULIZA MKENYA, ''vp kaka mbona ulikua na vitunda vidogo vidogo then ukashindwa kumaliza''?

BASI MKENYA AKAJIBU,,,,''kaka achaaa, nlipofika tunda la tisa nkamwona mtanzania anakuja na matikiti kumi.............''
(watanzania kwa kupenda sifaa....haya sasa ayameze tuonee)
 
Ahsante... Walau zimepungua.....
Umejaribu kuvuta picha ya mtz atakapoambiwa ameze hayo matikiti atasemajee au ataonekanaje usonii.....hahahahahahahaha
 
Aisee, nimecheka mnooo!. Nilikuwa Nina uchovu lakini wooote umeisha..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
dikembe;

kaka umefanya nionekane kituko kwa kucheka kwenye daladala
 
Last edited by a moderator:
Mbavi sina we jamaa unafaa kuwa mwana saikolojia.ebu tupe nyingine
 
Hivi kwanini watanzania wengi wanapenda kujizarau au wanaona kawaida kudharauliwa kwamba wao ni vilaza?

Watanzania mnahitaji deliverance ya mtazamo you are extremely negative towards yourselves.

under nor consideration of comedy.
 
Haki ya nani hili jamaa tumb.af kabisa! Unataka kutuua kwa kicheko? She.nzy kabisa! Eti kaka achaaaaaa m-TZ na matikiti maji!
 
Hivi kwanini watanzania wengi wanapenda kujizarau au wanaona kawaida kudharauliwa kwamba wao ni vilaza?

Watanzania mnahitaji deliverance ya mtazamo you are extremely negative towards yourselves.

under nor consideration of comedy.

usijistress hivyo bwana, nimeshasikia version tofautitofauti ya hii comedy nyingine zina mataifa/makabila tofauti na Tz, ni kawaida kwa kila jamii kujitolea mfano kwani unakuwa unajijua vizuri zaidi,huoni hapo juu watu wanasapport inaleta uhalisia zaidi.
 
Back
Top Bottom