Kama una simu pita hapa upige kura

Unatumia OS ipi


  • Total voters
    64
Hizo terminology ungejaribu kuzifafanua... Wengine tunatumia simu hatujui kama ni android, window au nini cjui.. mimi najua Nokia, Sumsung, HTC, Sonny nk. ina camera na internet.. Hayo mengine mimi cjui.. Dadavua ili tupige kura kwa uelewa

Andika aina ya operating system ya simu yako na si watengenezaji wa simu
 
Back
Top Bottom