Kama una simu pita hapa upige kura

Unatumia OS ipi

  • Total voters
    64
mkuu Dreson4 huu utafiti wako sijui kama utaleta majibu ay taarifa ambazo unadhani ni sahihi...

1. ni asilimia ndogo tu ya wanaotumia mtandao huingia jf hata wakiingia bado ni wachache zaidi wataingia jukwaa hili na kuona uzi huu...

2. watu kujaza majibu tu kwa kuandika, naweza kuandika iphone hata kama natumia nokia ya tochi.

3. unawezaje kujua uyu yupo bongo au la? je kama mtu ana id tatu kisha zote akapost majibu yake?

4. kwa kuwa majibu tayari yapo haiwezekani bots zikajaza tu majibu randomly? (hehehee hapa kwa kesi ya jf haiwezekani ila naangalia tu uwezekano)

njia rahisi ya kucollect data zako ni watu kutembelea ukurasa fulani ivi ambao utakuwa unakusanya taarifa za watembeleaji ikiwemo nchi waliyopo, simu wanazotumia na kadhalika, ni rahisi zaidi kwa admin wa jf kupata izo taarifa kuliko njia hii yako ya kuandika...

hapa nna iphone, nna android, na feature phone, lakini unaezaje kujua natumia kifaa gani sasa ivi?

c6
 
Last edited by a moderator:
mkuu Dreson4 huu utafiti wako sijui kama utaleta majibu ay taarifa ambazo unadhani ni sahihi...

c6

Mkuu nlikua najaribu kupata very rough data ya juu juu tu sample space ndogo tu, lengo langu halikua the actual number of people.. mbongo kumuwekea link kumuhamisha page flani hatokuelewa.
 
hyo ya online kuwa 40% ni Iphone ni uongo, labda research ameifanyia oysterbay peke yake
 
Mkuu nlikua najaribu kupata very rough data ya juu juu tu sample space ndogo tu, lengo langu halikua the actual number of people.. mbongo kumuwekea link kumuhamisha page flani hatokuelewa.

Kama ni rough idadi kubwa itakuepo kwa android.

kwa sababu kuwa ndiyo yenye gharama ndogo zaid kulingana na vipato vya wananchi weng wa tz.
 
Back
Top Bottom