Kama una mpenzi au rafiki na unapiga simu mara ya kwanza, ya pili na mara ya tatu na hapokei usipige tena

kama missed call moja inatosha, na Sina salio usiwaze kuhusu kukutafuta naendelea na mambo yangu...yaan wengine wanataka muda wote uwe umeishikilia simu ili akipga tu upokee😏😏 my ex girlfriend ndio alikua na tabia hiyo

very true sasa ukija mpigia anavyolalamika utadhani wewe kila kona unabebana na simu
 
Back
Top Bottom