Kama una mpango wa kuvuta mkwanja kupitia YouTube pitia hapa

Mchezo uliopo ni kwamba hawa wanaokatisha tamaaa ni wana channels kule youtube so wanawakata moto wasiojua ili waaachane nayo wasilete jam!!! kama hutaki acha tuu nna wateja wengi JF wengi wajuaji social network zipo nyingi kama haupo interested ni poa tu!!! kwa anayetaka proof hii hapa kama hutaki hulazimishwi kununuaView attachment 437340
inapendeza zaidi ukionyesha payment receipt ya mwezi huu, au uonyeshe payment receipt ya mwezi uliopita ili kuvutia wateja wako, ikiwezekana u-attach video ya kwenye hiyo dashboard yako ya youtube coz kuna watakaodhani hiyo pesa ni ya kwenye blogger(not youtube) au ya mtu mwingine...coz kwa blogger kupiga dollar 100 per day ni kawaida(kipindi cha nyuma kabla mambo hayajaharibika).. Cha muhimu kuonyesha vidhibitisha sahihi utapata wateja na kuwa open zaidi..
 
By default wewe ni nguli wa youtube au blogger kwa nini hutaki wenzako wajue ????? roho ya kwa nini!! et zipo internet, Ila sawa skujui hunijui yaishie hapa bro
on M.r no problem tupige kazi, siwezi kukupinga ili wengine wasijue/wasinufaike kwa kuwa traffic yangu naipata sehemu tofauti kabisa .. ULIKUA NI USHAURI TUU MKUU, PIA NINGEKUA SITAKI WENGINE WAJUE NISINGEKUSHAURI UFANYE BIASHARA YA KUUZA ADSENSE ZA YOUTUBE.. NI USHAURI TUU NDUGU
 
Naona wengi wajuaji,Nimepost kwenye wrong place, sio lazima huu uzi hebu uishie hapa
Anayetaka channel url hajui sheria za google na ni moja ya vitu nimeongelea ndani ya kitabu .
Sio vizuri kuweka workplace yako public iwe channel au blogger sio kila mtu anapenda wakikufungulia bots ni dk 1 huna ac!! kuweni makini!!! Naomba hii topic iishie hapa kama huamini me siwezi kukuaminisha kaaa hapo hapo ulipo.
 
inapendeza zaidi ukionyesha payment receipt ya mwezi huu, au uonyeshe payment receipt ya mwezi uliopita ili kuvutia wateja wako, ikiwezekana u-attach video ya kwenye hiyo dashboard yako ya youtube coz kuna watakaodhani hiyo pesa ni ya kwenye blogger(not youtube) au ya mtu mwingine...coz kwa blogger kupiga dollar 100 per day ni kawaida(kipindi cha nyuma kabla mambo hayajaharibika).. Cha muhimu kuonyesha vidhibitisha sahihi utapata wateja na kuwa open zaidi..
mwisho wa siku unataka nikuenyeshe inner details waje ku hack sio!!!! Bas kama huamini tuachie hapo mzeee!!
 
Mwezi mmoja tu uliopita ulikua ukiulizia adsense ya kununua leo umeshakua mjuzi wa youtube had umeandika kitabu. Hicho ulichokiandika kwenye kitabu ni cha mwezi mmoja? Sio kwamba nakukatisha tamaa ni bora ukapata uzoefu zaid usije walisha watu sumu. Ubaya wake ni kua wengi watakuja ila wakifungiwa akaunti kwa uzembe wako watakuona mtu mbaya sana. So chukua mda upate uzoefu kuandika tu uliyoyasoma na kuyaleta kwa kiswahili haisaidii. Kaa kwenye game ulizoee kisha utoe kitabu chako
 
hapana mkuu una-hide personal details zako.. cha msingi wateja wapate uhakika hizo data zimetoka kwenye channel yako i.e pale juu hide email yako na publisher i.d alafu u-login direct ukiwa unajichukua video.. Hiyo video ukiiweka hapa tutaangalia utapiga pesa za youtube zaidi na zaidi..
 
Duuu kujitesa kote uko kwa nn!!!! Basi wazeee sio mbaya ni Idea yangu tu nimewakwaza samahanini,ina mapungufu pia,siwez mridhisha kila mtu kama hujawa interested basi tu no way!!!!!
 
Mwezi mmoja tu uliopita ulikua ukiulizia adsense ya kununua leo umeshakua mjuzi wa youtube had umeandika kitabu. Hicho ulichokiandika kwenye kitabu ni cha mwezi mmoja? Sio kwamba nakukatisha tamaa ni bora ukapata uzoefu zaid usije walisha watu sumu. Ubaya wake ni kua wengi watakuja ila wakifungiwa akaunti kwa uzembe wako watakuona mtu mbaya sana. So chukua mda upate uzoefu kuandika tu uliyoyasoma na kuyaleta kwa kiswahili haisaidii. Kaa kwenye game ulizoee kisha utoe kitabu chako
Duu so ukiwa blogger wa zamani huruhusiwi Kutafuta Adsense acount ya haraka ambayo imeshapokea barua(Pin veryfied) ili ufanye kazi zako kwa ufanisi, Watu wanaenda na acount 2 mpaka 3 mzeee kwa mwezi,Fuatilia threads angu ndo utaelewa nina experience ya mwez mmoja au lah! Hii topic iishie hapa mkuuu imetosha🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Mchezo uliopo ni kwamba hawa wanaokatisha tamaaa ni wana channels kule youtube so wanawakata moto wasiojua ili waaachane nayo wasilete jam!!! kama hutaki acha tuu nna wateja wengi JF wengi wajuaji social network zipo nyingi kama haupo interested ni poa tu!!! kwa anayetaka proof hii hapa kama hutaki hulazimishwi kununuaView attachment 437340
dah itapona kwel acc iyo
 
ulifkiri jf tupotupo tu kukubali kupigwa.......jf ndio jukwaa la great thinkers....kama unapewa mambo bure humu iwaje wewe uuze, cha kufanya mwambie admin ahamishe huu uzi uende jukwaa la biashara
 
Back
Top Bottom