...Umemjibu Vyema Mkuu. Raha mojawapo ya Dunia yetu hii in Watu kutofautiana na kila MTU kuishi maisha take, sio kuishi kama Shule ambako wrote mnapaswa kuwa Sare ...!!Kwanza, pmoja na kutita kubwa jinga Mkuu. Tambua kwamba maisha ni kuchagua siyo lazima wote tuishi kama unavyotaka wewe. Hayo ndiyo maisha tuliyoyachagua.
Pili, kama kila kitu kipo nyumbani kwanini mtu akateseke kwenda kupanga? mateso ya kupanga ni makubwa sana wakati maisha ni haya haya. Kwanini ujitese? au kujitesa ndiyo kunakufanya uonekane kidume?
Tatu, angalia maisha yako mkuu. Achana na maisha ya watu kabisa.
View attachment 1686840ukute kajamaa kalikoleta huu uzi ni haka hapa
Tena kwa kukazia, mpaka leo yuko kwa baba yake alipofufuka akaenda kuishi kwa baba yake hajaondoka sasa iweje mimi niondoke kwa baba. Watu wengine mnasoma maandiko lakini hamuyazingatii.Yesu mpaka miaka 30 alikuwa anakula ugali kwa Maria na Yosefu, wewe kujenga kwenu tena haujaezeka unafungua na uzi. Watu bwana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Unaamaje sasa home?View attachment 1686953