Kama una hasira usifungue huu uzi...

Kama una hasira usifungue huu uzi...

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,729
IMG-20180501-WA0016.jpg

Happy Workers Day
 
Wafanyakazi wa Serikali wacha yawakutage; tumeshawasaidia weee wadai haki zao hawajisaidii ....tumeshachoka; ngoja wapambane na hali yao may be watabadilika.

Kesho asubuhi nikavune mpunga wangu; matikiti hela 6 nimeuza leo jioni....
 
Hahahaaa mbona yeye hatosheki.

Poleni wafanyakazi wa umma.
 
business as usual
...nawaonea huruma waliopoteza muda kwenda uwanjani ...ni bora ungebaki hata nyumbani unabebishana na mkeo au mumeo
 
Wakati yeye kwa mwaka analipwa 400 million kodi anakwepa na kila kitu anafanyiwa na pesa za walipa kodi hivyo mshahara wake hauna kazi umetulia tu huku Wafanyakazi wakiendelea kushindwa kumudu gharama zao za kila siku za maisha ambazo zinapanda kwa kasi.

Kweli dhalimu aliyeshiba hamjui mnyonge mwenye njaa.

Wafanyakazi wa Serikali wacha yawakutage; tumeshawasaidia weee wadai haki zao hawajisaidii ....tumeshachoka; ngoja wapambane na hali yao may be watabadilika.

Kesho asubuhi nikavune mpunga wangu; matikiti hela 6 nimeuza leo jioni....
Ulichokiandika sijui hata kama umeelewa
 
Mbona CCM hawatosheki, wana wabunge na madiwani wengi lakini kila leo wanawànunua wa upinzani?
 
changamoto.jpg

WANATAPA PENSION, KAMA JAMAA HAPO JUU

Wafanyakazi wa Serikali wacha yawakutage; tumeshawasaidia weee wadai haki zao hawajisaidii ....tumeshachoka; ngoja wapambane na hali yao may be watabadilika.

Kesho asubuhi nikavune mpunga wangu; matikiti hela 6 nimeuza leo jioni....
 
If I could turn back the hands of time [HASHTAG]#26042018[/HASHTAG].
I'm sorry Dada wa Taifa nilikusaliti
 
business as usual
...nawaonea huruma waliopoteza muda kwenda uwanjani ...ni bora ungebaki hata nyumbani unabebishana na mkeo au mumeo
Nawaonea huruma waliopoteza hela kununua T-shirt.
 
Na safari zimelimwa; hadi kwa kibali maalum.....sasa mtaani ni heshima kubwa.....sisi walima matikiti nikiuza naamkiwa shikamoo hadi na wazee ha ha ha
Ni vyema KULIMA MATIKITI NA KUUZA. ANGALIZO ni pale wanunuzi watakaposhindwa KUMUDU BEI YA MATIKITI. Mfanyakazi akilipwa vizuri MZUNGUKO WA FEDHA HUONGEZEKA.
 
Back
Top Bottom