Wanduta
Senior Member
- Mar 28, 2018
- 123
- 40
Wana jamvi,yani niukweli ulio wazi kwamba kumekuwa na gubiko kubwa la maambukizi ya virusi vya ukimwi na ukimwi kwa wingi,lakini kwa tafiti nilizozifanya mahospitalini nimegundua kuwa wanao athirika kwa wingi ni wale watu wenye CD4 lelemama,kwa sababu wale wenye CD4 ng'ang'ari hawawezi pata maambukizi hata wakijaamiina na watu wenye maambukizi,ko na waomba muwe makini kwa sababu unaweza ukawa na mwenzi na mkapima, lakini yeye asionekane muathirika kwasababu ya CD4 imara na badae ukaliwa kichwa.