Kama una CD4 kubwa badi uwezi kuumwa ukimwi.

Kama una CD4 kubwa badi uwezi kuumwa ukimwi.

Nenda but,inaitajika utafiti wa Hali ya juu Sana Mimi mwenyewe nilienda maabara(hospital)
Kwa uandishi wako with a whole lot of contradictions huwezi kufanya utafiti wa kina wewe! Eti utafiti wa kina sana! Kumbaaf!
 
haina uhakika sana kivile naiman hiyo nitaarifa kama taarifa zingine
 
Ok yaaani anakuwa na vvu au ukimwi,but aumdhuru but weye mwenye weak CD4 ndo unakumbwa na jangwa la Sahara.
Duh! Kweli wewe ni Dr. Uchwara. Hivi unajua tofauti ya vvu na ukimwi? Ebu tuanzie hapo kwanza ili usiendelee kutulisha matango pori!!
 
Back
Top Bottom