Ndo anaitwa carrier.??Ok yaaani anakuwa na vvu au ukimwi,but aumdhuru but weye mwenye weak CD4 ndo unakumbwa na jangwa la Sahara.
Hawezi kuwa dakatari huyu.labda mganga wa kienyejiWewe ni Daktari wa binadamu???
Ujue wapo ambao awaupatiDu haya mambo ya waganga wa kienyeji kabsa.Unamaanisha nini unaposema sema CD4 kubwa?. Sample yako imehusisha watu wangapi?.Hebu weka data zako hapa in numbers ili tu argue?.
Nawakumbusha tu HIV is real no one shoukd deceive you ukajikaanga bure.
Hao wapo n very few sana na sababu n kuwa CD4 receptor zao zina lack uwezo wa ku attach na HIV thus why iko hvo.and not kuwa wana CD4 kubwa.Ujue wapo ambao awaupati
They way you present medical issues very locally and unscientific i can tell your not even close to medical field.Kwani daktari anayo chata?
Ndiyo maana anajaribu kutudanganya hapaHawezi kuwa dakatari huyu.labda mganga wa kienyeji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi kwelikweliCd4 kuanzia ngapi
Uwezo wa nini?.no t cells can fight HIV, the lucky one are the one lacking receptors for HIV attachement.Nauo ndo uwezo wa CD4 wenyewe
Na production ya ant-HIV ( antibodies )??????Wana jamvi,yani niukweli ulio wazi kwamba kumekuwa na gubiko kubwa la maambukizi ya virusi vya ukimwi na ukimwi kwa wingi,lakini kwa tafiti nilizozifanya mahospitalini nimegundua kuwa wanao athirika kwa wingi ni wale watu wenye CD4 lelemama,kwa sababu wale wenye CD4 ng'ang'ari hawawezi pata maambukizi hata wakijaamiina na watu wenye maambukizi,ko na waomba muwe makini kwa sababu unaweza ukawa na mwenzi na mkapima, lakini yeye asionekane muathirika kwasababu ya CD4 imara na badae ukaliwa kichwa.
Hahahahaaa!! Yaani kadri ninavyozidi kusoma huyu ngumbaru ndivyo nnavyozidi kuelewa kuwa hata huko ngumbaru alikuwa mkia! Mara hapati,mara utaliwa kichwa,mara CD4 zinaficha! Yaani CD4 zinaficha negativity ya maambukizi ambayo hayapo?au zinaficha uwepo wa maambukizi kwa mtu ambaye hawezi kuambukizwa? Huyu hajui kuwa hajui!Kwenye uzi umesema mwenye hizo CD4 nyingi hawezi kuambukizwa hata akijamiiana na mwenye ukimwi.
Hapa unasema hizo CD4 zinaficha ukweli na ukikutana na mtu kama huyo utaitwa hatunae tena.
Mbona una ji contradict pakubwa sana ndani ya mda mfupi namna hiii?