United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 2,772
- 5,431
Mpango wa shirika la afya Dunia WHO hadi kufikia mwaka 2030 na kuendelea ni kuhakikisha wanauzuia maumbukizi mapya ya HIV Duniani Yani Kwa lugha rahisi ni kwamba kufikia hiyo mwaka shirika la afya litahakisha limepigana hadi kuzuia watu kuambukizwa HIV
Kwa mujibu wa shirika la afya Duniani njia mojawapo ambayo itaweza kutufikisha kwenye haya malengo ni kuakikisha elimu ya ugonjwa wa HIV inawafikia watu wengi kadri inavyowezekana.mfano matumizi sahihi ya condom,kutoa elimu na ushauri kwenye makundi atarishi,
Njia nyingine ni kuwa na dadi kubwa ya watu waliopima HIV kadri inavyowezekana Kam Kun kipind ilikua ukienda Hospital zetu.kupimwa UKIMWI ilikua ni kama kitu Cha lazima utapimwa magonjwa yote lakin Ukimwi lazima upimwe utaki unataka
Njia nyingine ni kuwaanzishia matumizi ya dawa mara moja watu wote watakao kutwa na maambukizi ni rahisi sana mtu kuambukizwa HIV na mtu muathirika ambaye hatumii dawa ila sio rahisi kuambukizwa HIV na muathirika anayetumia dawa apo Kuna mambo ya Viral load kwahyo kadri tukavyokuwa na watumiaji wengi wa dawa ndio tukavyokuwa tunapunguza chain ya maumbukizi mapya
Njia nyingne ni kuhakikisha tuna wakinga wale wote wenye Wapenzi wanaoishi na HIV
Njia zipo nyingi ila hizo ni baadhihi ya zitakazotufishika kweny mpango wetu
Ile kauli ya kusema mbona sikuizi UKIMWI hautish Kuna watu wamepigana usiku na mchana kutufikisha hapa tulipo hadi tunaona UKIMWI ni kitu Cha kawaida