Plot4Sale Kama una 70M njoo mjimwema, hutajuta

mrico

Senior Member
Mar 29, 2013
173
94
Napenda kuwatangazia kuwa kiwanja kinauzwa, Taarifa za kiwanja
Mahala - Kata ya Mjimwema, wilaya ya Kigamboni, Dar es salaam.
Ukubwa ni mita 60 ×mita 50

Kimepimwa kwa urasimishaji, mawe yamesimikwa.
Hati bado haijatoka.
Matumizi ya ardhi ni makazi na biashara
Ardhi yake ni tambarare, kuna minazi 10, miembe 2, imezungushiwa fensi yenye kozi 8,
Nishati ya umeme na maji yamefika.
Taarifa za umbali:
-KM 8 kutoka kivukoni ferry
-Mita 60 kutoka barabara kuu ya rami
  • Mita 500 kwenda kituoa cha afya Mjimwema
  • Mita 700 kwenda bahari ya Hindi
  • Mita 500 kwenda ofisi za kata na serikali ya mtaa na kituo cha polisi ( vimejengwa eneo moja)

Bei: 70,000,000 Tshs

Piga sasa : +255 746 47 48 49
+255 712 34 77 49

Kwa wanaopenda viwanja potential hichi sio cha kukosa.
Picha
IMG_20230301_150519.jpg
IMG_20230301_150637.jpg
IMG_20230301_150438.jpg
IMG_20230301_150522.jpg

View attachment 2536551View attachment 2536553View attachment 2536554View attachment 2536556
 
Back
Top Bottom