Tafuta simu ingine ata kama model iyo iyo maana naona ii no cdmaHabari za mchana wapendwa katika bwana.
Kwakuwa hii ni sehemu ambayo inatukutanisha watu wenye uzoefu wa vitu na mambo mbali mbali, basi namimi nakuja kwenu leo kuomba maoni kuhusu hii simu LG Velvet 5G G900UM.
Kama umewahi kuitumia vipi kuhusu ubora wake haswa Speed, Kutunza Charge kwenye matumizi makubwa na matumizi ya kawaida, Ubora wa kioo, Camera n.k
View attachment 1846665View attachment 1846665
Naomba kuwasilisha.
Nafkiri alisoma vibaya, kwenye Title wameandika no CDMA. Hio ni GSM.Shukran kaka, naomba ufafanuzi zaidi hapo kwenye cdma, endapo simu itapungukiwa iyo feature itakuwa haina uwezo wa kuperform shughuli zipi.
Mimi sijaitumia mkuu ila si simu mbaya. Soc yake ni upper midrange sd 765G, kama una matumizi ya kawaida itafanya mambo almost yote vizuri. Sema japo ina battery kubwa ukaaji chaji ni wa kawaida sana.Habari za mchana wapendwa katika bwana.
Kwakuwa hii ni sehemu ambayo inatukutanisha watu wenye uzoefu wa vitu na mambo mbali mbali, basi namimi nakuja kwenu leo kuomba maoni kuhusu hii simu LG Velvet 5G G900UM.
Kama umewahi kuitumia vipi kuhusu ubora wake haswa Speed, Kutunza Charge kwenye matumizi makubwa na matumizi ya kawaida, Ubora wa kioo, Camera n.k.
View attachment 1846665View attachment 1846665
Naomba kuwasilisha.
Asante sana KakaNafkiri alisoma vibaya, kwenye Title wameandika no CDMA. Hio ni GSM.
Kwetu Tanzania Tunatumia GSM, CDMA walikuwa ni Sasatel, Ttcl na Zantel zamani ila siku hizi wameshafunga mita no, ukiwa na simu ya CDMA Tanzania haitafanya kazi.
Shukran kakaMimi sijaitumia mkuu ila si simu mbaya. Soc yake ni upper midrange sd 765G, kama una matumizi ya kawaida itafanya mambo almost yote vizuri. Sema japo ina battery kubwa ukaaji chaji ni wa kawaida sana.
Kama upo interested na refurb za mitandao kama hizo ushauri wangu Go for lg g8x, pengine ni rahisi zaidi, inakaa na charge na pia soc yake ni Highend.
Jambo jengine la kuwa makini ni hizo simu za mitandao ya marekani kama haijatolewa lock inaweza kuja kukusumbua huku, mfano hao t mobile inaweza isishike 3g ikawa tu 2g na 3g.
Karibia Highend zote za lg miaka ya Karibuni ni double screen.Ni double screen
Mnamaanisha kiuhalisia kusema double screen mkuuKaribia Highend zote za lg miaka ya Karibuni ni double screen.
Inakuwa na cover ambalo lina display unachomeka simu, hivyo unakuwa na display mbili za kutumia.Mnamaanisha kiuhalisia kusema double screen mkuu
Hapana haisupport hii ni ya mda kidogo.lg g6 mkuu una support iyo double screen
Umetisha sana mzee, kumbe na wewe unaenjoy na LGMie naweka lock ktk kuwasha data
Kuna wale kimbelembele akishika simu anawai kuwasha dada
Natumia LG V40 THINQ
View attachment 1869358
Na enjoy unique featuresUmetisha sana mzee, kumbe na wewe unaenjoy na LG
Uliagiza wapi kiongoziMREJESHO,
Habari za usiku wapendwa katika bwana, naomba kuwapa mrejesho kuwa nimefanikiwa kuipokea simu Leo (LG Velvet) inafanya kazi vizuri kabisa.
Pia inamwonekano mzuri, speed, inatunza moto bila kusahau camere yake inatoa picha swafi kabisaa.
Kuhusu network, nipo nafaidi 4G bila shida.