Kwa upande wangu,
Bachelor ni mshike mshike aisee, kama umetoboa vizuri Bachelor basi Masters ni mteremko, shida tu utakutana nayo kwenye Reasearch Thesis. (Ila kama umefanya LLB, hata research utatoboa tu)
Degree hua mtu unakua umetoka high school, kichwa bado kimezoea maswala ya masomo machache unakuja kukutana na mabalaa mapya ya masomo ambayo hujawahi hata kuyasikia mengine. Inabidi ukiseti kichwa upya.
Masters unaingia kwa undani zaidi maswala uliosoma kwenye Degree yako, picha halisi unayo tayari kichwani.