Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Kuna ulazima wa mke au mwanaume kumtaarifu mume au mke wake anapotaka kuwatumia pesa wazazi wake?
Kweli kabisa! Mambo ni mengi,yanaenda kwa kasi,ila muda ni mchache.Hakuna, ila kutokana na ugumu wa maisha na kuwa na rasilimali chache za fedha ndani ya nyumba;inabidi kutaarifiana utumapo fedha,ili mkija kufirisika mjue mlishirikishana katika matumizi ya fedha.
Kweli kabisa! Mambo ni mengi,yanaenda kwa kasi,ila muda ni mchache.
Kama unaona kuna ulazima kujiambia wewe mwenyewe, basi ni lazima. Ila ukiona siyo basi hata na wewe usijiambie. Nini maana ya ndoa basi?Hakuna, ila kutokana na ugumu wa maisha na kuwa na rasilimali chache za fedha ndani ya nyumba;inabidi kutaarifiana utumapo fedha,ili mkija kufirisika mjue mlishirikishana katika matumizi ya fedha.
sio lazima ila ni jambo muhimu kutoa taarifa kwa mwenzio.Kuna ulazima wa mke au mwanaume kumtaarifu mume au mke wake anapotaka kuwatumia pesa wazazi wake?
https://www.youtube.com/watch?v=15ilRv22Mp0
https://web.facebook.com/ufi/reacti...GJhY2s6MjkwNDMyNjM2NjI1MTkxNw==&av=1368951255
Lakini wao wakituma upande wao wala hawaoni umuhimu sana wa kumjulisha mme hivyo ufanya hivyo kwa siri. Slogan ni ile ile ya kuwa fedha za mwanamme ni za mwanamke na za mwanamke ni za kwake binafsi.
Jibu ni HapanaKuna ulazima wa mke au mwanaume kumtaarifu mume au mke wake anapotaka kuwatumia pesa wazazi wake?
https://www.youtube.com/watch?v=15ilRv22Mp0
https://web.facebook.com/ufi/reacti...GJhY2s6MjkwNDMyNjM2NjI1MTkxNw==&av=1368951255