Teacher Emma
Member
- Jul 15, 2015
- 21
- 9
Habari wadau wa Jf
Kama ulifanya second round application ya TCU siku za nyuma ulikuwa ukijaza course 4 ilikuwa huwez tena kuongeza ya 5 lakini cha ajabu jana nilipoclick "make second round application" ilikubali kuongeza course ya tano na kufanya machaguo kufikia 5. Kwa wale wenzangu na mie mlioishia 4 rudini muongeze ya 5 ili kupata nafasi moja ya ziada..maana asaiv usijiamin na hizo 4 tu.