Kama umechaguliwa kusoma Law pita hapa

Podcast

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
706
799
Poleni kwa ambao mpaka muda huu bado hamjapata chuo, Endeleeni na round 2 mtapata vyuo maana vipo kwa ajili yenu.

Kwa ambao tayari wamepata vyuo na wamechaguliwa kusoma sheria.....Law (LLB) Naomba uliza swali lolote hapa kuhusu hio course utajibiwa.
 
Nime chaguliwa
LAW tumain university Arusha
LAW Kampala international university
BAED st augustine uni Arusha

tushauriane apa sheria au chaki
 
Nime chaguliwa
LAW tumain university Arusha
LAW Kampala international university
BAED st augustine uni Arusha

tushauriane apa sheria au chaki
Achana na ualimu ata iwe udsm, angalia chuo gani kitakuwa nafuu kwako kati ya hivyo viwili ila nakushauri nenda tumaini.
 
Poleni kwa ambao mpaka muda huu bado hamjapata chuo, Endeleeni na round 2 mtapata vyuo maana vipo kwa ajili yenu.

Kwa ambao tayari wamepata vyuo na wamechaguliwa kusoma sheria.....Law (LLB) Naomba uliza swali lolote hapa kuhusu hio course utajibiwa.
Nmechaguliwa Law mzumbe moro nishauri
 
Swali

Sheria ni ngumu or
Bira ya kuuma uma maneno naweza jibu sheria ni ngumu, lakini inawezekana ukasoma vizuri tu na ugumu wake mpaka ukamaliza,pia kama bado unafanya application jaribu kutafuta vyuo wanaotoa degree ya sheria kwa 3year aya mambo ya 4 years sio kabisa.
 
Poa..apo Tumaini wame nichagua naona ni 3 years
Bira ya kuuma uma maneno naweza jibu sheria ni ngumu, lakini inawezekana ukasoma vizuri tu na ugumu wake mpaka ukamaliza,pia kama bado unafanya application jaribu kutafuta vyuo wanaotoa degree ya sheria kwa 3year aya mambo ya 4 years sio kabisa.
 
Nmechaguliwa Law mzumbe moro nishauri
Nmechaguliwa Law mzumbe moro nishauri
Nmechaguliwa Law mzumbe moro nishauri

hongera kwa kuchaguliwa law mzumbe, npo 3rd yr now mzumbe nisingetaka kukutisha wala kukuongopea but kiukwel law ya mzumbe ni ngumu sana mdogo ang kama kwel unaipenda law kutoka moyon waweza kuja ukakomaa na ukaweza kuperform kadr ya uwezo wako but kama unaona haupo fresh au umechaguliwa kmakosa ni afadhal ukafanya chaguz iliyo bora kwako maana utarud kwenu semister Moja tu...niliyoyaona ni meng sana hapa , law ya mzumbe ni hatar
 
Haya ata mimi nakuja law hapo mzee ntakutafuta unipe technique mbili tatu
 
Sheria ugumu wake kwenye kukariri vifungu,Ku'solve case.kuna Lecturers apa SAUT wanaitwa Katabalo na Muna wanakimbiza kinyama yaan Sup nje nje..Daah sheria ngumu kisoro asee..!!
 
Back
Top Bottom