computerkiddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 488
- 534
najua kuna watu wana ndoto za kuingia jeshini, kuvaa magwanda,na kupanda vyeo vya kijeshi
ila kutokana sababu ndogo ndogo unakuta jeshi la bongo ni ngumu kuingia na kutimiza ndoto zako
fursa yenyewe nii hii hapa
french foreign legion........hili ni jeshi la nchini ufaransa linalochukua raia wa dunia nzima,umri kuanzia miaka 18 hadi 40
mshahara ni kuanzia milion mbili na kuendelea
likizo kila mwisho wa mwaka
baada ya miaka mitano unapewa uraia wa kifaransa
kila kitu ni bure nsosi,mafunzo,sehemu ya kukaa
unaweza kuappy interpol au australian army baada ya miaka mitano
ukipata majeraha kazini unapewa uraia hapo hapo......yaani ukiumia vitani
cheo cha juu unachoweza kupata ndani ya miaka mitano ni koporal wa jeshi........ sio mbaya
unaweza chagua sehemu ya kuspecialize baada ya basic training hivyo unaweza kusoma urubani,kuendesha vifaru kuwa sniper,kuwa mtaalamu wa parachuti,kuwa mtaalamu wa mabomu,kuwa mtaalamu wa kupigana,kuwa mtaalamu wakutengeneza dhana za kivita,kuwa mtaalamu wa kuendesha nyambizi etc
fursa nyingine inapatikana nchini urusi
urusi nao wameanza kuchukua raia wa nje ila inabidi ujue kirusi kwanza na ukubali kusaini mkataba wa miaka mitano na uwe tayari kwenda vitani
faida yake ni kwamba unaweza kuomba uraia ukapewa baada ya miaka mitano
unaweza kuhudhuria masoma ya chuo kikuu moja kwa moja
mshara ni milioni moja nakuendelea
unapewa sehemu yakuishi pamoja na basic needs
unapata opportunity ya kusomeshwa bure ukitaka urubani,udaktari,etc we unapiga kitabu tu
gonga like kama umevutiwa na hii info.....................................itaendelea bado kuna info za kuvutia