Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 951
- 843
Kumekuwa na hii tabia ya watu kuwa wanafiki saàna kuhusu swala la walimu wa Sanaa kukosa ajira....imefika hatua eti mtu aliyepata division 4 ya kubahatisha nae anakucheeka bila kufikilia alikuwa kilaza tu.
Ndg walimu wa Sanaa tusikate tamaa.hakuna ajuae kesho..yawezeka hawa watesi wetu wanaotuona hatufai kisa wamechaguliwa au kuteuliwa wakatoweka gafla na wanaotuthamini wakawa viongozi wa nchi yetu
Wanachotakiwa kujua ni kuwa walituhadaa wakati wa kutaka kujiunga na elimu ya juu..course za uwalimu wakazipa kipaumbele ili Twende huko hatimae waje kutucheka na kutuzihaki..
Ndg walimu wasanaa tusiwe wanyonge.aminini kuwa bado tuna thamani ile ule ya ubinadamu wetu tulioumbwa nayo.lakini tutambue kuwa hii ni Vita ya wana Sanaa na wanaojiita wanasayansi.hii ni Vita ya ubaguzi wa wazi kabisaa kwa kuwa wote wa juu ni wanasayansi.