Kama ulichezea hiyo na hujaoa hadi leo god is watching u!

flintsky

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
654
744
1471859753516.jpg
 
Dah! hili Game nmelicheza nikiwa na Miaka sita/saba hivi, miaka ya Juzi juzi tuu 1998-2003. Ila mpaka leo sijaoa na wala Muda haujafika:D:D:D:D
 
Legeza kidogo.

Kama hujabahatika kuoa/kuolewa basi japo uwe na mtoto hata wa kusingiziwa.
 
Back
Top Bottom