Manton
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,163
- 1,529
Ukiona mtu anakwambia mtu yeyote asiwashe taa hata kama giza lina tisha watoto, wanalia wanataka kujua nini kilichomo katika giza hilo. Bado sauti inasema: hakuna kuwasha taa. Basi cha kufanya wabembelezeni watoto walale, kutapambazuka tu, wakati mtoa katazo akiwa bado kafumba macho.
ONYO: Hadithi hii inafaa kusomwa na kujadiliwa na mtu mwenye upeo wa juu, wa kung'amua na kuchanganua mambo mapya kwa ufasaha bila mihemko.
Karibu.
ONYO: Hadithi hii inafaa kusomwa na kujadiliwa na mtu mwenye upeo wa juu, wa kung'amua na kuchanganua mambo mapya kwa ufasaha bila mihemko.
Karibu.