Kama ukimpenda, huwezi ogopa kumsomesha

Kama ukimpenda, huwezi ogopa kumsomesha

Nguruwe ni tofauti na binadamu mkuu. Ndio maana nguruwe analiwa ila binadamu aliwi.

Hujaamua tu kuelewa, basi kwa muktadha huo huo chukua mfano mwingine..... ninapotia ‘wese’ kwenye ‘chombo’ yangu na kuiosha vema sio kama ndinga inafaidi haya bali inifanikishie mishe zangu.
 
Kusomesha ni jukumu la mzazi serikali na yeye mwenyewe
 
Kama unampenda huwezi kuwa na kiherehere cha kufanya majukumu ya wazazi wake
 
.
Screenshot_2019-10-24-23-18-19.jpeg
 
Zawadi pekee ya kumpa mchumba kwa moyo mmoja ni mimba tu
 
Wapendeni lakini ishini nao kwa akili.Sasa wee jichanganye wakati yeye anaumbwa wewe umelala na hujui aliambiwa nini na mungu na pia kaonana na shetani wewe hukuwepo na hujui pia aliambiwa nini,wee mjomba umekwama wapi na akili zako za kusomesha hizoo?
 
Ukishasema MCHUMBA hapo lazima kuwe na future... take care

Don't try hilo swala
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanaume aendeshwi na hisia, mwanaume ameumbiwa uvumilivu. We unapoteza TZ millions wenzako wanapoteza midola hats hawafikirii ujinga.
Mwanaume unaposomesha Mwanamke na baadae akija kukukataa eti uwe mvumilivu ukingojea akurudie tena au
una maananisha nini?!
 
Aisee mimi namwambia kabisa kama akileta ujuaji,

Kuna machine ya kuchomea taka,haijatumika mwaka wa pili sasa.
 
Kusomesha ni msaada na pia don’t expect too much! Mapenzi ni hisia tu na haziwezi zikawepo daima!! Mimi nilisomesha mchumba na sikua na mategemeo sana kwake lkn nilimpenda tu na hakuna na mtu wa kumfanyia hivo na nilimwambia ukipata mtu usianze visa tell
Me polepole nitafute mbaya mwe zangu! Binti Alinipenda kweli na hata wakati anataka kumaliza aliombwa rushwa ya ngono alikataa! Na kazi yake ya kwanza pia aliombwa rushwa akiwa na mwaka kazini alikataa na akaniambia anataka kuacha kazinilimkubalia akaacha hadi sasa uhusiano hadi ndoa jumla miaka kumi! Hadi tatoo nimechorwa!
 
aya ndo mambo sasa
Kusomesha ni msaada na pia don’t expect too much! Mapenzi ni hisia tu na haziwezi zikawepo daima!! Mimi nilisomesha mchumba na sikua na mategemeo sana kwake lkn nilimpenda tu na hakuna na mtu wa kumfanyia hivo na nilimwambia ukipata mtu usianze visa tell
Me polepole nitafute mbaya mwe zangu! Binti Alinipenda kweli na hata wakati anataka kumaliza aliombwa rushwa ya ngono alikataa! Na kazi yake ya kwanza pia aliombwa rushwa akiwa na mwaka kazini alikataa na akaniambia anataka kuacha kazinilimkubalia akaacha hadi sasa uhusiano hadi ndoa jumla miaka kumi! Hadi tatoo nimechorwa!
 
Mwanaume unaposomesha Mwanamke na baadae akija kukukataa eti uwe mvumilivu ukingojea akurudie tena au
una maananisha nini?!
Akikuacha kakuacha unaachana nae.
Usimwamini sana binadamu.
Ana tabia ya kubadilikabadilika.
 
Back
Top Bottom