The Gunners
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 220
- 438
Soma hiyo
Unashaur watu ujinga mkuu. Watu wanawekeza kwa mwanamke sababu wanaamini wataanzisha taasisi itwayo familia hivyo watasaidiana majukumu. Haina tofauti na kununua hisa. Hakuna mtu anayefanya wema bila kutegemea malipo. Hata wale wasiotegemea malipo ya moja kwa moja basi wanategemea malipo ya Baraka au kuiona mbingu. Ondoa Baraka, Ondoa mbingu, Ondoa malipo sidhani kama Kuna misaada itatolewa.Kusomesha sio jukumu LA mzazi na ndugu tu. Ni jukumu mtu yyte mwenye moyo wa kujitolea na sio muwekezaji kama vijana wengi wafanyavyo.
Imagine, mtu ameokotwa kichanga. Hajui ndugu wala jirani. Unadhani hana haki ya kusoma kisa hana mzazi au ndugu?
Unaposomesha mchumba Fanya kujitolea sio kuwekeza. Hats kama ukiwekeza tegemea vyote. Hasara na faida..
ASANTE
Huyo bro wako ana moyo wa chuma Mimi ninge sambaza ubongo kwa risasi kuanzia kwa demu mwenyewe mpaka familia yake.Ngoja nikupe True story ya Bro angu.
Huyu Bro ni Mjeda yuko mbeya hapo.
Jamaa akapata kadem wakat huo kapo kidato cha tatu.
Kadem kwao hali duni.
Jamaa akakapeleka Shule ya Private.
Kakafaulu kakaenda 5-6..
Akasomesha mpka demu akapiga One ya PCB.
Akachaguliwa MUHAS .
Mwaka wakwanza jamaa akawa anaendelea kukatafuna. Huku akihudumia demu nakwao.
Demu akafutuka, akajaa mahips, mwanangu lilipendeza kinyama, siunajua madem wa Mbeya waanvyokuaga na mizigo???.
Mwaka wa tatu, jamaa akasema tufunge ndoa.
DEMU ALIMKATAA HAPOHAPO, AKAMWAMBIA NAOLEWA NA DAKTAR MWEMZANGU.
Bro alipagawa, nusura ajiue , anawapigia ndugu narafiki najamaa kuomba ushauri analia lia tu kamasi zinamtoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuja kutulia ndo akampata Nesi mmoja, wamezaa wanawatoto saiz!!
DEMU/MCHUMBA HASOMESHWI!!!!
Lengo la uchumba ni ndoa ila lengo la ndoa ni kusaidiana pia.Lengo la uchumba ni ndoa na sio masomo mkuu..
Ukiona mtu anataka umsomeshe ndio umuoe ujue anakutumia kama anakupenda aje kwenye ndoa ili changu kiwe chake..
Hii hutokea sawa sawa na biashara kuna kupata na kukosa. Kikubwa jitolee kumsomesha usiwekeze.
Mkuu ukitaka ufurahie mahusiano mfanye mke namba moja. Huyo ndiye sehemu yako. Maana ya kuwa mwili mmoja ni mwili mmoja kweli kweli.Utakuta una ndugu hata kuipata elimu kwao ni changamoto halafu unaenda lisomesha jitu ulilokutana nalo ukubwani
Kikubwa upendo...kama ukimfanya demu akupende kisa umemsomesha tegemea kukataliwa mwishoni. Halafu, duniani hapa ishi ukijua lolote laweza tokea. Usiishi kwa kutegemea mema always. Ndio maana watu wanajinyonga, wanaweka imani sana kwa watu. Wanasahau watu hubadilika.Ngoja nikupe True story ya Bro angu.
Huyu Bro ni Mjeda yuko mbeya hapo.
Jamaa akapata kadem wakat huo kapo kidato cha tatu.
Kadem kwao hali duni.
Jamaa akakapeleka Shule ya Private.
Kakafaulu kakaenda 5-6..
Akasomesha mpka demu akapiga One ya PCB.
Akachaguliwa MUHAS .
Mwaka wakwanza jamaa akawa anaendelea kukatafuna. Huku akihudumia demu nakwao.
Demu akafutuka, akajaa mahips, mwanangu lilipendeza kinyama, siunajua madem wa Mbeya waanvyokuaga na mizigo???.
Mwaka wa tatu, jamaa akasema tufunge ndoa.
DEMU ALIMKATAA HAPOHAPO, AKAMWAMBIA NAOLEWA NA DAKTAR MWEMZANGU.
Bro alipagawa, nusura ajiue , anawapigia ndugu narafiki najamaa kuomba ushauri analia lia tu kamasi zinamtoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuja kutulia ndo akampata Nesi mmoja, wamezaa wanawatoto saiz!!
DEMU/MCHUMBA HASOMESHWI!!!!
Tegemea kulipwa Baraka kwa Mungu mkuu...binadamu hawana shukurani.Unashaur watu ujinga mkuu. Watu wanawekeza kwa mwanamke sababu wanaamini wataanzisha taasisi itwayo familia hivyo watasaidiana majukumu. Haina tofauti na kununua hisa. Hakuna mtu anayefanya wema bila kutegemea malipo. Hata wale wasiotegemea malipo ya moja kwa moja basi wanategemea malipo ya Baraka au kuiona mbingu. Ondoa Baraka, Ondoa mbingu, Ondoa malipo sidhani kama Kuna misaada itatolewa.
AsanteKenge
Nguruwe ni tofauti na binadamu mkuu. Ndio maana nguruwe analiwa ila binadamu aliwi.Unapomlisha NGURUWE ili anone vema, lengo sio kumfurahisha huyo ‘mdudu’ na wala mdudu asijione anapeeeendwaaa mno.... lengo ni MIMI kuja ‘kufaudu’ vinono kwa kumla au kupiga hela na si vinginevyo.
Unaweza kuwa umemsaidia mkeo mkuu...kama bado hujaoa.Juzi hapa nimemsaidia binti mrembo niliyekutana naye kwenye daladala akiwa anaumwa, nilichofanya ni kumpisha ‘siti’ na mwisho wa safari kumpatia kiasi kidogo ili aende hospitali (na namba ya simu ili anijulishe yanayojiri).... sasa kapona naona ‘meseji’ haziishi sijui anataka kunilipa fadhila...!!
Mwanaume aendeshwi na hisia, mwanaume ameumbiwa uvumilivu. We unapoteza TZ millions wenzako wanapoteza midola hats hawafikirii ujinga.Huyo bro wako ana moyo wa chuma Mimi ninge sambaza ubongo kwa risasi kuanzia kwa demu mwenyewe mpaka familia yake.
Unaweza kuwa umemsaidia mkeo mkuu...kama bado hujaoa.