Kama Ukimona mtu anatumia cheti bandia, wizara imetoa tangazo hili, kukuelekeza kwa kufanya

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
Jamani piga simu tuma email kama ukimtambua MTU yeyote mwenye cheti bandia , jamani simu zianze kumiminika toka kote nchini dar Es salaam n.k. mkimona kote toeni nchini tarifa
Ahsanteni
 
Attachments

  • FB_IMG_1488192350240.jpg
    FB_IMG_1488192350240.jpg
    36 KB · Views: 32
ANATAKIWA AKAMATWE KABISA HUYU.

AMEIDANGANYA JAMHURI NZIMA HUYU JAMAA.
 
Jamani piga simu tuma email kama ukimtambua MTU yeyote mwenye cheti bandia , jamani simu zianze kumiminika toka kote nchini dar Es salaam n.k. mkimona kote toeni nchini tarifa
Ahsanteni

Wapitie right channel sio kubwabwaja tu humu jukwaani!!!
 
Jamani piga simu tuma email kama ukimtambua MTU yeyote mwenye cheti bandia , jamani simu zianze kumiminika toka kote nchini dar Es salaam n.k. mkimona kote toeni nchini tarifa
Ahsanteni
Kama ni kweli hili tangazo litafanya watu waliopo kwenye ajira za serikali na walitumia vyeti si vyao kuumbuliwa.Jambo limezua jambo.Kwani zoezi la uhakiki liliishia wapi matokeo yake? Au lenyewe lilikuwa ni maalumu kwa vyeti feki tu ? Kwenye vyeti vya watu wengine ni shughuli pevu kama zoezi litafanyika
 
Back
Top Bottom