Ni wapi pameandikwa kuwa CCM itatawala milele? Nani alisema kuwa CCM haitaondoka madarakani? Je,wanaosema kuwa CCM itatawala milele wana hatimilki ya kutawala milele?
Alitumia sababu gani za misingi kusema kuwa CCM haitaondoka madarakani?
Je,anajua tofauti ya kizazi cha sasa na cha zamani?
CCM kuondoka madarakani ni LAZIMA NA SIO OMBI. Hakuna lenye mwanzo likose kuwa na mwisho. Iwe kwa kiparata au kwa mguu CCM lazima ing'oke. Kitu chochote hupitia hatua 3,kuzaliwa,kukua na kufa,hata bidhaa sokoni hupitia hatua 3.