Kama tunaamini katika vyama, CCM itatawala daima!

Hii inatokana na ukweli kwamba, mtanzania ni mvivu wa kufikiri na mvivu wa kudai haki yake ya msingi. Ingekuwa nchi nyingine, serikali ya CCM ingeshaondolewa kwa sababu,
  1. Viongozi wake wanatuhumiwa kufanya biashara ya madawa kulevya lakini hakuna kinachofanyika zaidi ya kuwalinda. Hadi wanajigamba kwamba wao ndio wenye nchi, watoto wao wanauza unga na hakuna wa kuwakamata
  2. Viongozi wa CCM wanakula rushwa, ni mafisadi wakubwa lakini hakuna wa kuwachukulia hatua yoyote, zaidi wanatetewa na masikini wa kutisha kwenye mitandao kama Ze macorpolo, Chama ritz etc….
  3. Sheria za Tanzania ni kwa ajili ya kuwalinda mafisadi na familia zao na kuwakandamiza raia masikini
  4. Viongozi wa CCM wanatuhumiwa kuficha fedha nyingi sana nje ya nchi lakini hakuna wa kuwachukulia hatua
  5. Viongozi wa CCM wanabaka watoto, wanawapa UKIMWI na hilo likawa tu ni upepo wa kupita
  6. Uspika na Bunge la Tanzania vimekuwa ni vilabu vya kupitisha na kulinda agenda za watawala wa CCM.
  7. Vyeo vya uongozi vinagawiwa kwa undugu, urafiki na ufuasi
  8. CCM itaendelea kutawala kwa sababu polisi wanawaua raia lakini hakuna wa kuwajibishwa, badala yake wanapandishwa vyeo
  9. CCM itaendelea kutawala kwa sababu ukibishana nao, either unauwawa, unamwagiwa tindikali, kung'olewa kucha au kupotea katika mazingira ya kutatanisha
  10. Huu ukoo wa panya umeweza kutupumbaza kwa kuwapa watoto wetu elimu duni ili waendelee kuwa wajinga wa kutaliwa
  11. Serikali ya CCM imeweza kuiuza nchi kwa wachina ambao wanaiba rasilimali zetu kwa kasi ya ajabu. Imefika hadi viongozi wao, kama balozi kuingilia mambo yetu ya kisiasa bila kuchukuliwa hatua.
  12. Serikali ya CCM imekaa kimya huku raia wa kichina wakitengeneza madawa ya kulevya kwenye majumba yetu wanayokodi huku wakilindwa na watawala
  13. Serikali yetu itaendelea kututawala kwa sababu, licha ya kwamba ajira ni tatizo nchini Tanzania, wafungwa wa kichina wanaletwa kufanya vibarua huku vijana wetu wakiwa kandoni mwa barabara wakiangalia
  14. CCM itaendelewa kuwa madarakani kwa miaka 300 kwa sababu wameweza kubuni namna ya kugawa vyama vya upinzani kuwatumia mamluki, wasaliti na watu ambao wameonyesha tamaa ya fedha na madaraka kwa kuwapa kiburi na yale yote mazuri wanayoyatamani mamluki hao
  15. Licha ya kwamba baadhi yetu, hatuwezi hata kujinunulia au kukodi sehemu ya maana ya kulala, tumeendekeza njaa zetu za pilau, Buku 7, tisheti tukifuraia kuwa neema kwetu huku mafisadi ya CCM yakichota mabilioni ya kodi na kuzipeleka nje kwenye akaunti zao.
  16. CCM itaendelewa kuwa madarakani kwa sababu Mahakama imekuwa ikilinda zaidi viongozi wa CCM na mafisadi wanaoua, kubaka, huku raia wanaobambambikiziwa kesi kusote kwa miaka 20 magereza bila kesi zao kusikilizwa
Hizi ni sababu tosha za CCM kuendelea kututawala kwa miaka 300 ijayo. hiyo imethibitishwa na Mbakajai Kapuya kwamba hao ndio wenye nchi na hakuna tunaloweza kufanya. CCM hoyee !!!!!
Umevurugwa wewe. Endeleeni kulisha watu sumu, kuwamwagia tindikali, kuwalipua mabomu na kuwatishia kuwauwa kwa bastola.chadema ni janga la kitaifa
 
Ehee yaani uliotaja yote hapo juu ndio waliyonayo chadema. Ccm ni kweli itatawala milele na milele.
 
CHEKI VIDEO YA MIKAKATI YA CHADEMA WAKIPANGA MAUAJI YA WAANDISHI WA HABARI - Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Willfred Lwakatare akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi wa habari
 
HII NDIO VIDEO ILIYOMPONZA LWAKATAREat Wednesday, March 13, 2013 JESHI la Polisi nchini limemkamata Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare, kwa tuhuma za kuhusika na matukio ya mashambulizi dhidi ya watu hapa nchini.Taarifa kutoka Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA Kinondoni jijini Dar es Salaam zilieleza kwamba Lwakatare alikamatwa saa 7 mchana na watu wanne waliojitambulisha kama maofisa wa Jeshi la Polisi ambao walifika na gari aina ya Toyota Land Cruiser jeupe lenye namba za usajili T 140 BLA likiwa na chata ya kitalii.Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Senso, alisema Lwakatare amekamatwa kwa tuhuma zilizosambazwa kwenye mtandao. Hata hivyo Musa hakusema ni matukio gani yanayomhusisha kigogo huyo, lakini mtu aliyesambaza mkanda wa video katika mitandao ya kijamii jana aliandika chini yake maneno yasemayo: ‘Mikakati ya mateso ya Kibanda na mwandishi mwandamizi wa gazeti la Mwananchi, mhusika mkuu huyu hapa.' akimaanisha Lwakatare.Angalia video hiyo hapa chini Au google lwakatare/bukoba boy
 
Ccm kama taasisi iliyoundwa na binadamu yapata miaka 50 sasa bado itazidi kuongoza nchi hii kwa kipindi kirefu sana kijacho. Hii ni kutokana na misingi imara ambayo chama hicho kimejiwekea ya kiuongozi, maadili,demokrasia ndani ya taasisi na utawala shirikishi.

jambo hili halionekani ndani ya vyama vya upinzani, vimekosa uvumilivu na maadili ya kitaasisi, vimekuwa kama kampuni za mfukoni ambazo waasisi na waanzilishi wana maamuzi kuliko wafuasi, hakuna demokrasia ya kweli, matumizi mabaya ya mapato na rasilimali pamoja na udikteta. Mathalani hivi karibuni yamejitokeza malumbano makali ndani ya vyama hivi hadi kutishia uhai wa vyama hivyo. Sababu kuu za malumbano hayo kiuhalisia hazijulikani hadi sasa zaidi ya kurushiana lawama pande zote.

Navishauri vyama hivi vijipange, viaminike, viache ubabaishaji. Kuongoza nchi sio lelemama. Wananchi wapo tayari kwa mabadiliko lakini hadi sasa wanaona bora waendelee na mabadiliko kupitia ccm.
 
Tangu lini ccm wakawa na maadili?kukumbatia mafisadi ndiyo maadili?tangu lini ccm wakawa na utawala bora?utawala wakinyonyaji ndiyo utawala bora?tangu lini ccm wakawa na matumizi mazuri ya pesa za serikali,hebu tuambie pesa ziluzopotea hazina juzi kabla ya kufo cha mgimwa zimeenda wapi?pesa za epa nani alizitumia kama si ccm?ifweero inaonekana unalipwa vizuri sana na ccm,kwakuleya ujinga wako humu,kawadanganye wajinga wenzio wenye ushabiki na ccm huku wamechoka kila kitu,kimaisha ki afya kwasababu ya unyonyaji wa ccm
 
Ifweero umevurugwa akili na m..^.ko,tangu lini ccm wakawa na maadili?kukumbatia mafisadi ndiyo maadili?tangu lini ccm wakawa na utawala bora?utawala wakinyonyaji ndiyo utawala bora?tangu lini ccm wakawa na matumizi mazuri ya pesa za serikali,hebu tuambie pesa ziluzopotea hazina juzi kabla ya kufo cha mgimwa zimeenda wapi?pesa za epa nani alizitumia kama si ccm?ifweero inaonekana unalipwa vizuri sana na ccm,kwakuleya ujinga wako humu,kawadanganye wajinga wenzio wenye ushabiki na ccm huku wamechoka kila kitu,kimaisha ki afya kwasababu ya unyonyaji wa ccm
Mkuu nepi nene, nimeanza kwa kusema kuwa ulegelege na uchanga wa upinzani utaifanya ccm itawale milele, iendelee kuaminika kwa wananchi, hii ni kwa sababu yale bora yanauofanywa na ccm hayajafikiwa japo kwa robo na wapinzani. Huwezi kufananisha ccm na akina chadema, cuf au tlp wala nccr hata kwa theluthi. Hayo unayolalamika nayo wewe hayana ushahidi wala hayana ukweli wowote, ni kelele tu za reja reja. Upinzani ujipange
 
Ushahidi upo,ni kwasababu tu ccm ndiyo wenye dola,hakuna atakayechukuliwa hatua hata siku moja,pili huwezi kusema kuwa upinzani haujafanya chochote,kwani wao si wenye dola,tena kushinda kwa ccm kunatokana na umiliki wao wa kila kitu,wanapesa kuwanunua wspiga kura walio maskini kabisa kwahiyo wananunulika hata kwa sh elfu 20 tu,pia tume ya uchaguzi ni yao,jiulize hata wewe,umeteuliwa na mimi kusimamia uchaguzi na mimi huyu ni mgombea-unadhani utaniangusha?labda kuwe na kitu kingine.na ndiyo maana mimi husema kuwa hata hao wabunge wa upinzani na madiwani ccm iliwaachia tu ili kuonekane kuwa nchi hii inademokrasia kwani wangeamua wangetangaza washindi wa ccm,sehemu zingine utakuta upinzani wanashinda kutokana na chuki za ccm wao kwa wao,na hilo likiendelea ndiyo litakalipelekea anguko la ccm,vinginevyo ccm wajaribu kuwa fair watashindwa sana.
 
Cuf vs hamad rashid
nccr vs kafulila
chadema vs zitto, mwigamba na kitila-----full ubaguzi
 
Mkuu nepi nene, nimeanza kwa kusema kuwa ulegelege na uchanga wa upinzani utaifanya ccm itawale milele, iendelee kuaminika kwa wananchi, hii ni kwa sababu yale bora yanauofanywa na ccm hayajafikiwa japo kwa robo na wapinzani. Huwezi kufananisha ccm na akina chadema, cuf au tlp wala nccr hata kwa theluthi. Hayo unayolalamika nayo wewe hayana ushahidi wala hayana ukweli wowote, ni kelele tu za reja reja. Upinzani ujipange

Ndugu yangu ifweero,mimi nisingekuwa na shida na ccm hata kama watakuwa mafisadi kiasi gani ili mradi tu watujali na sisi wananchi japo kwa kidogo tu.angalia hili,ukiugua ukaenda hospitali hupati matibabu yanyostahili tena unatibiwa kwa kuchelewa sana,asilimia kubwa ya watu hubidi wahonge ili wapate matibabu mazuri,kwahiyo kama ni maskini kabisa imekula kwako,je viongozi wetu hao wa ccm hutibiwa wapi?na ndiyo maana hawajisumbui kuboresha mazingira ya hizi hospitali zetu maana wao na familia zao hutibiwa njeeee!
Maisha ya kawaida kwa watanzania walio wengi ni magumu kuliko unavyoweza kufikiri,na sidhani kama ifweero ulisha experience maisha ya namna hii,huenda ndiyo maana unadhabikia sana ccm,njoo mtaani uone,watu wanashindia mlo mmoja tu kwa siku tena ule wanaouita wa hivyohivyo tu,binafsi nimeishi maisha haya ya shida nikasoma kwa shida sana na yaelewa na ndiyo maana nilipoifahamu ccm vizuri,nilisema kamwe sitaipenda hata kama upinzani wote utakufa,ccm wabgejaribu kuboresha maisha ya watanzania japo kidogo tu,ili mtu apate ridhiki yake,watanzania tunapohangaika huku wakubwa wakitanua tu inaumiza sana ukizingatia sisi wenyewe ndiyo walipa kodi,ninapoona mtu anashabikia ccm huwa nasikitika sana na kuingiwa na hasira za ajabu sana.
 
Ccm kama taasisi iliyoundwa na binadamu yapata miaka 50 sasa bado itazidi kuongoza nchi hii kwa kipindi kirefu sana kijacho. Hii ni kutokana na misingi imara ambayo chama hicho kimejiwekea ya kiuongozi, maadili,demokrasia ndani ya taasisi na utawala shirikishi.

jambo hili halionekani ndani ya vyama vya upinzani, vimekosa uvumilivu na maadili ya kitaasisi, vimekuwa kama kampuni za mfukoni ambazo waasisi na waanzilishi wana maamuzi kuliko wafuasi, hakuna demokrasia ya kweli, matumizi mabaya ya mapato na rasilimali pamoja na udikteta. Mathalani hivi karibuni yamejitokeza malumbano makali ndani ya vyama hivi hadi kutishia uhai wa vyama hivyo. Sababu kuu za malumbano hayo kiuhalisia hazijulikani hadi sasa zaidi ya kurushiana lawama pande zote.

Navishauri vyama hivi vijipange, viaminike, viache ubabaishaji. Kuongoza nchi sio lelemama. Wananchi wapo tayari kwa mabadiliko lakini hadi sasa wanaona bora waendelee na mabadiliko kupitia ccm.
Sasa hiyo CCM iliyokomaa unayoisemea hebu niambie umekuboreshea nini kiasi cha kuitetea.Wewe lazima ndio wale ukishapewa Tshirt ya kijani unaona maendeleo hao wanaokupa wana account Uswisi usidhani unapewa bure.Ningekuwa jirani ningekuchapa makofi kusoma hujui hata lipicha hulioni?:tape:
 
Hoja hii haina mashiko, kinachofanya ccm iendelee kushika dola ni hiki hapa:
1. Uchaguzi sio huru, mathalani 2010 JK alipigwa na Dr. Slaa, lakini tume ilimtangaza JK.
2. Hofu ya watawala walivyochezea rasilimali za nchi na ufisadi, wameamua kuhakikisha kuwa wanachafua mihimili yote na taasisi nyeti kama vile Mahakama, Bunge, TISS, POLISI, JWTZ,na sasa kila muhimili na taasisi zinacheza ngoma ya kuiokoa ccm.
3. Mikataba mibovu ya rasilimali kama madini, gesi na wanyama- hii imesababisha makampuni ya kigeni kusaidia kwa kutoa fedha na misaada mingine kupigana upande wa ccm. Na kwa bahati mbaya makampuni haya yote yana maslahi ya serikali za Marekani, Eu, Brics na china.
4. Umaskini wa wananchi na viongozi wa vyama vya upinzani, ccm imesababisha watu kuwa maskini kiasi kwamba ni rahisi kununuliwa kwa fedha kidogo sana hususani viongozi dhaifu na waliokata tamaa.
5. Ukosefu wa elimu ya uraia na elimu duni isiyojenga uwezo wa kujitegemea kwa watanzania wengi. Si ajabu leo hii kukuta kijana anayejiita amesoma lakini hawezi kuelewa madhala na madhira yaliyoletwa na ccm katika taifa hili ambalo wakati tukipata uhuru mwaka 1961 uchumi wetu ulikuwa mkubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki na ulikuwa sawa na uchumi wa Korea Kusini, Singapore, Malasyia n.k
 
Mkuu nepi nene, nimeanza kwa kusema kuwa ulegelege na uchanga wa upinzani utaifanya ccm itawale milele, iendelee kuaminika kwa wananchi, hii ni kwa sababu yale bora yanauofanywa na ccm hayajafikiwa japo kwa robo na wapinzani. Huwezi kufananisha ccm na akina chadema, cuf au tlp wala nccr hata kwa theluthi. Hayo unayolalamika nayo wewe hayana ushahidi wala hayana ukweli wowote, ni kelele tu za reja reja. Upinzani ujipange
Njaa ni kitu kibaya sana, hivi njaa zako zinakufanya ushindwe kufikiri vizuri mpaka unasema ccm itatawala milele? kweli wewe ni kilaza wa hali ya juu sasa hiyo milele wewe utakua wapi? kama dola ya kirumi ilishindwa kutawala milele sembuse huu uchafu unaoongzwa na wajinga wenzako wakina riz1 siku zenu ni chache sana na hamtaamini mnaanguka kutoka madarakani. endelea kuibeza cdm lakini kila Mtanzania anaijua kazi kubwa ambayo cdm wameifanya na wanaendeleea kuifanya.
 
Tangu lini ccm wakawa na maadili?kukumbatia mafisadi ndiyo maadili?tangu lini ccm wakawa na utawala bora?utawala wakinyonyaji ndiyo utawala bora?tangu lini ccm wakawa na matumizi mazuri ya pesa za serikali,hebu tuambie pesa ziluzopotea hazina juzi kabla ya kufo cha mgimwa zimeenda wapi?pesa za epa nani alizitumia kama si ccm?ifweero inaonekana unalipwa vizuri sana na ccm,kwakuleya ujinga wako humu,kawadanganye wajinga wenzio wenye ushabiki na ccm huku wamechoka kila kitu,kimaisha ki afya kwasababu ya unyonyaji wa ccm

kumbe wakati mwingine jina la mtu linaendana kabisa na akili, matendo na muonekano wa mhusika.
 
Njaa ni kitu kibaya sana, hivi njaa zako zinakufanya ushindwe kufikiri vizuri mpaka unasema ccm itatawala milele? kweli wewe ni kilaza wa hali ya juu sasa hiyo milele wewe utakua wapi? kama dola ya kirumi ilishindwa kutawala milele sembuse huu uchafu unaoongzwa na wajinga wenzako wakina riz1 siku zenu ni chache sana na hamtaamini mnaanguka kutoka madarakani. endelea kuibeza cdm lakini kila Mtanzania anaijua kazi kubwa ambayo cdm wameifanya na wanaendeleea kuifanya.
mbona mleta mada hajaitaja chadema, wewe umeshikwa na wehu gani hadi ukaamua kuitaja?? hiyo inadhihirisha wazi kuwa chadema ni dhaifu,legelege na ndio kikwazo cha mabadiliko
 
Hoja hii haina mashiko, kinachofanya ccm iendelee kushika dola ni hiki hapa:
1. Uchaguzi sio huru, mathalani 2010 JK alipigwa na Dr. Slaa, lakini tume ilimtangaza JK.
2. Hofu ya watawala walivyochezea rasilimali za nchi na ufisadi, wameamua kuhakikisha kuwa wanachafua mihimili yote na taasisi nyeti kama vile Mahakama, Bunge, TISS, POLISI, JWTZ,na sasa kila muhimili na taasisi zinacheza ngoma ya kuiokoa ccm.
3. Mikataba mibovu ya rasilimali kama madini, gesi na wanyama- hii imesababisha makampuni ya kigeni kusaidia kwa kutoa fedha na misaada mingine kupigana upande wa ccm. Na kwa bahati mbaya makampuni haya yote yana maslahi ya serikali za Marekani, Eu, Brics na china.
4. Umaskini wa wananchi na viongozi wa vyama vya upinzani, ccm imesababisha watu kuwa maskini kiasi kwamba ni rahisi kununuliwa kwa fedha kidogo sana hususani viongozi dhaifu na waliokata tamaa.
5. Ukosefu wa elimu ya uraia na elimu duni isiyojenga uwezo wa kujitegemea kwa watanzania wengi. Si ajabu leo hii kukuta kijana anayejiita amesoma lakini hawezi kuelewa madhala na madhira yaliyoletwa na ccm katika taifa hili ambalo wakati tukipata uhuru mwaka 1961 uchumi wetu ulikuwa mkubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki na ulikuwa sawa na uchumi wa Korea Kusini, Singapore, Malasyia n.k

out of topic.
 
Hivi chadema kwa sera zipi inaweza kuibwaga CCM na ikashika dola?

Viongozi wenyewe wa chadema ndio hivyo tena, hawajapewa nchi, kwa zile zile za kukusanya kwenye mabakuli, wameshajinunulia majumba London na Dubai. Wamejijengea mahekalu Mabwepande na wanaendelea kuzitafuna kiulaini, wengine wamefikia hadi kuwaweka mahawara kuwa ni wasimamimizi waku wa mapato na matumizi ya chama. Wengine wamethubutu hata kuwavunjia safari za kibunge mahawara ili waende wakastarehe nao Dubai.

Hivi mnafikiri Watanzania wote ni wakosefu wa maadili kiasi huo uozo mpaka wa kupora wake za watu wataufumbia macho?

Kwa upinzani wa aina hiyo, Tanzania ni CCM daima.

Ngoja tuone akina ACT wana nini kipya.
 
Back
Top Bottom