Umevurugwa wewe. Endeleeni kulisha watu sumu, kuwamwagia tindikali, kuwalipua mabomu na kuwatishia kuwauwa kwa bastola.chadema ni janga la kitaifaHii inatokana na ukweli kwamba, mtanzania ni mvivu wa kufikiri na mvivu wa kudai haki yake ya msingi. Ingekuwa nchi nyingine, serikali ya CCM ingeshaondolewa kwa sababu,
Hizi ni sababu tosha za CCM kuendelea kututawala kwa miaka 300 ijayo. hiyo imethibitishwa na Mbakajai Kapuya kwamba hao ndio wenye nchi na hakuna tunaloweza kufanya. CCM hoyee !!!!!
- Viongozi wake wanatuhumiwa kufanya biashara ya madawa kulevya lakini hakuna kinachofanyika zaidi ya kuwalinda. Hadi wanajigamba kwamba wao ndio wenye nchi, watoto wao wanauza unga na hakuna wa kuwakamata
- Viongozi wa CCM wanakula rushwa, ni mafisadi wakubwa lakini hakuna wa kuwachukulia hatua yoyote, zaidi wanatetewa na masikini wa kutisha kwenye mitandao kama Ze macorpolo, Chama ritz etc….
- Sheria za Tanzania ni kwa ajili ya kuwalinda mafisadi na familia zao na kuwakandamiza raia masikini
- Viongozi wa CCM wanatuhumiwa kuficha fedha nyingi sana nje ya nchi lakini hakuna wa kuwachukulia hatua
- Viongozi wa CCM wanabaka watoto, wanawapa UKIMWI na hilo likawa tu ni upepo wa kupita
- Uspika na Bunge la Tanzania vimekuwa ni vilabu vya kupitisha na kulinda agenda za watawala wa CCM.
- Vyeo vya uongozi vinagawiwa kwa undugu, urafiki na ufuasi
- CCM itaendelea kutawala kwa sababu polisi wanawaua raia lakini hakuna wa kuwajibishwa, badala yake wanapandishwa vyeo
- CCM itaendelea kutawala kwa sababu ukibishana nao, either unauwawa, unamwagiwa tindikali, kung'olewa kucha au kupotea katika mazingira ya kutatanisha
- Huu ukoo wa panya umeweza kutupumbaza kwa kuwapa watoto wetu elimu duni ili waendelee kuwa wajinga wa kutaliwa
- Serikali ya CCM imeweza kuiuza nchi kwa wachina ambao wanaiba rasilimali zetu kwa kasi ya ajabu. Imefika hadi viongozi wao, kama balozi kuingilia mambo yetu ya kisiasa bila kuchukuliwa hatua.
- Serikali ya CCM imekaa kimya huku raia wa kichina wakitengeneza madawa ya kulevya kwenye majumba yetu wanayokodi huku wakilindwa na watawala
- Serikali yetu itaendelea kututawala kwa sababu, licha ya kwamba ajira ni tatizo nchini Tanzania, wafungwa wa kichina wanaletwa kufanya vibarua huku vijana wetu wakiwa kandoni mwa barabara wakiangalia
- CCM itaendelewa kuwa madarakani kwa miaka 300 kwa sababu wameweza kubuni namna ya kugawa vyama vya upinzani kuwatumia mamluki, wasaliti na watu ambao wameonyesha tamaa ya fedha na madaraka kwa kuwapa kiburi na yale yote mazuri wanayoyatamani mamluki hao
- Licha ya kwamba baadhi yetu, hatuwezi hata kujinunulia au kukodi sehemu ya maana ya kulala, tumeendekeza njaa zetu za pilau, Buku 7, tisheti tukifuraia kuwa neema kwetu huku mafisadi ya CCM yakichota mabilioni ya kodi na kuzipeleka nje kwenye akaunti zao.
- CCM itaendelewa kuwa madarakani kwa sababu Mahakama imekuwa ikilinda zaidi viongozi wa CCM na mafisadi wanaoua, kubaka, huku raia wanaobambambikiziwa kesi kusote kwa miaka 20 magereza bila kesi zao kusikilizwa
Mkuu nepi nene, nimeanza kwa kusema kuwa ulegelege na uchanga wa upinzani utaifanya ccm itawale milele, iendelee kuaminika kwa wananchi, hii ni kwa sababu yale bora yanauofanywa na ccm hayajafikiwa japo kwa robo na wapinzani. Huwezi kufananisha ccm na akina chadema, cuf au tlp wala nccr hata kwa theluthi. Hayo unayolalamika nayo wewe hayana ushahidi wala hayana ukweli wowote, ni kelele tu za reja reja. Upinzani ujipangeIfweero umevurugwa akili na m..^.ko,tangu lini ccm wakawa na maadili?kukumbatia mafisadi ndiyo maadili?tangu lini ccm wakawa na utawala bora?utawala wakinyonyaji ndiyo utawala bora?tangu lini ccm wakawa na matumizi mazuri ya pesa za serikali,hebu tuambie pesa ziluzopotea hazina juzi kabla ya kufo cha mgimwa zimeenda wapi?pesa za epa nani alizitumia kama si ccm?ifweero inaonekana unalipwa vizuri sana na ccm,kwakuleya ujinga wako humu,kawadanganye wajinga wenzio wenye ushabiki na ccm huku wamechoka kila kitu,kimaisha ki afya kwasababu ya unyonyaji wa ccm
Mkuu nepi nene, nimeanza kwa kusema kuwa ulegelege na uchanga wa upinzani utaifanya ccm itawale milele, iendelee kuaminika kwa wananchi, hii ni kwa sababu yale bora yanauofanywa na ccm hayajafikiwa japo kwa robo na wapinzani. Huwezi kufananisha ccm na akina chadema, cuf au tlp wala nccr hata kwa theluthi. Hayo unayolalamika nayo wewe hayana ushahidi wala hayana ukweli wowote, ni kelele tu za reja reja. Upinzani ujipange
Mkuu nepi nene, nimeanza kwa kusema kuwa ulegelege na uchanga wa upinzani utaifanya ccm itawale milele, iendelee kuaminika kwa wananchi, hii ni kwa sababu yale bora yanauofanywa na ccm hayajafikiwa japo kwa robo na wapinzani. Huwezi kufananisha ccm na akina chadema, cuf au tlp wala nccr hata kwa theluthi. Hayo unayolalamika nayo wewe hayana ushahidi wala hayana ukweli wowote, ni kelele tu za reja reja. Upinzani ujipange
Cuf vs hamad rashid
nccr vs kafulila
chadema vs zitto, mwigamba na kitila-----full ubaguzi
Sasa hiyo CCM iliyokomaa unayoisemea hebu niambie umekuboreshea nini kiasi cha kuitetea.Wewe lazima ndio wale ukishapewa Tshirt ya kijani unaona maendeleo hao wanaokupa wana account Uswisi usidhani unapewa bure.Ningekuwa jirani ningekuchapa makofi kusoma hujui hata lipicha hulioni?:tape:Ccm kama taasisi iliyoundwa na binadamu yapata miaka 50 sasa bado itazidi kuongoza nchi hii kwa kipindi kirefu sana kijacho. Hii ni kutokana na misingi imara ambayo chama hicho kimejiwekea ya kiuongozi, maadili,demokrasia ndani ya taasisi na utawala shirikishi.
jambo hili halionekani ndani ya vyama vya upinzani, vimekosa uvumilivu na maadili ya kitaasisi, vimekuwa kama kampuni za mfukoni ambazo waasisi na waanzilishi wana maamuzi kuliko wafuasi, hakuna demokrasia ya kweli, matumizi mabaya ya mapato na rasilimali pamoja na udikteta. Mathalani hivi karibuni yamejitokeza malumbano makali ndani ya vyama hivi hadi kutishia uhai wa vyama hivyo. Sababu kuu za malumbano hayo kiuhalisia hazijulikani hadi sasa zaidi ya kurushiana lawama pande zote.
Navishauri vyama hivi vijipange, viaminike, viache ubabaishaji. Kuongoza nchi sio lelemama. Wananchi wapo tayari kwa mabadiliko lakini hadi sasa wanaona bora waendelee na mabadiliko kupitia ccm.
Mbaazi ikikosa mauaHizo vurugu zinakuwa na mkono wa mtu.
Njaa ni kitu kibaya sana, hivi njaa zako zinakufanya ushindwe kufikiri vizuri mpaka unasema ccm itatawala milele? kweli wewe ni kilaza wa hali ya juu sasa hiyo milele wewe utakua wapi? kama dola ya kirumi ilishindwa kutawala milele sembuse huu uchafu unaoongzwa na wajinga wenzako wakina riz1 siku zenu ni chache sana na hamtaamini mnaanguka kutoka madarakani. endelea kuibeza cdm lakini kila Mtanzania anaijua kazi kubwa ambayo cdm wameifanya na wanaendeleea kuifanya.Mkuu nepi nene, nimeanza kwa kusema kuwa ulegelege na uchanga wa upinzani utaifanya ccm itawale milele, iendelee kuaminika kwa wananchi, hii ni kwa sababu yale bora yanauofanywa na ccm hayajafikiwa japo kwa robo na wapinzani. Huwezi kufananisha ccm na akina chadema, cuf au tlp wala nccr hata kwa theluthi. Hayo unayolalamika nayo wewe hayana ushahidi wala hayana ukweli wowote, ni kelele tu za reja reja. Upinzani ujipange
Tangu lini ccm wakawa na maadili?kukumbatia mafisadi ndiyo maadili?tangu lini ccm wakawa na utawala bora?utawala wakinyonyaji ndiyo utawala bora?tangu lini ccm wakawa na matumizi mazuri ya pesa za serikali,hebu tuambie pesa ziluzopotea hazina juzi kabla ya kufo cha mgimwa zimeenda wapi?pesa za epa nani alizitumia kama si ccm?ifweero inaonekana unalipwa vizuri sana na ccm,kwakuleya ujinga wako humu,kawadanganye wajinga wenzio wenye ushabiki na ccm huku wamechoka kila kitu,kimaisha ki afya kwasababu ya unyonyaji wa ccm
mbona mleta mada hajaitaja chadema, wewe umeshikwa na wehu gani hadi ukaamua kuitaja?? hiyo inadhihirisha wazi kuwa chadema ni dhaifu,legelege na ndio kikwazo cha mabadilikoNjaa ni kitu kibaya sana, hivi njaa zako zinakufanya ushindwe kufikiri vizuri mpaka unasema ccm itatawala milele? kweli wewe ni kilaza wa hali ya juu sasa hiyo milele wewe utakua wapi? kama dola ya kirumi ilishindwa kutawala milele sembuse huu uchafu unaoongzwa na wajinga wenzako wakina riz1 siku zenu ni chache sana na hamtaamini mnaanguka kutoka madarakani. endelea kuibeza cdm lakini kila Mtanzania anaijua kazi kubwa ambayo cdm wameifanya na wanaendeleea kuifanya.
Hoja hii haina mashiko, kinachofanya ccm iendelee kushika dola ni hiki hapa:
1. Uchaguzi sio huru, mathalani 2010 JK alipigwa na Dr. Slaa, lakini tume ilimtangaza JK.
2. Hofu ya watawala walivyochezea rasilimali za nchi na ufisadi, wameamua kuhakikisha kuwa wanachafua mihimili yote na taasisi nyeti kama vile Mahakama, Bunge, TISS, POLISI, JWTZ,na sasa kila muhimili na taasisi zinacheza ngoma ya kuiokoa ccm.
3. Mikataba mibovu ya rasilimali kama madini, gesi na wanyama- hii imesababisha makampuni ya kigeni kusaidia kwa kutoa fedha na misaada mingine kupigana upande wa ccm. Na kwa bahati mbaya makampuni haya yote yana maslahi ya serikali za Marekani, Eu, Brics na china.
4. Umaskini wa wananchi na viongozi wa vyama vya upinzani, ccm imesababisha watu kuwa maskini kiasi kwamba ni rahisi kununuliwa kwa fedha kidogo sana hususani viongozi dhaifu na waliokata tamaa.
5. Ukosefu wa elimu ya uraia na elimu duni isiyojenga uwezo wa kujitegemea kwa watanzania wengi. Si ajabu leo hii kukuta kijana anayejiita amesoma lakini hawezi kuelewa madhala na madhira yaliyoletwa na ccm katika taifa hili ambalo wakati tukipata uhuru mwaka 1961 uchumi wetu ulikuwa mkubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki na ulikuwa sawa na uchumi wa Korea Kusini, Singapore, Malasyia n.k