Kama siyo wadhifa wake, huyu naye angechukuliwa kimafia!

Huyu naye kule bandarini anahusika. Kuitwa kwake ni baada ya kijana yule kumtaja kwenye kumsaidia kule bandarini. Kama siyo wadhifa angechukuliwa kimafia.

Wapo pia dada yake kwa pamoja wana dili kule Singida "Wanasaplai" raw materials. Alitajwa na kijana yule kama msaada kwake.

Kinachofuata atatumbuliwa kisha ataundiwa zengwe. Mwisho wake umewadia.Biashara "kwishney" mambo mpelampela familia inaanguka. Kijana yule kajipangaje? Waajiriwa je?

Swali langu la kila siku. Kwanini wanawachukua kimafia?

Kama ni true yuko hivi....Jiwe aongeze uzi uwe mkali zaidi..

Ila kama si kweli ni targeting to na witch hunting,basi jiwe atakua anafanya vibaya...

Ila ka-marope kapo kama entitled sana na hii nchi...Hii tabia siipendi personally.

Kama jiwe anafanya this for the betterment of us all....He has my fucken support,otherwise kama ni uonevu tu,nigga jiwe burn in hell motherf.ucker!
 
Huyu naye kule bandarini anahusika. Kuitwa kwake ni baada ya kijana yule kumtaja kwenye kumsaidia kule bandarini. Kama siyo wadhifa angechukuliwa kimafia.

Wapo pia dada yake kwa pamoja wana dili kule Singida "Wanasaplai" raw materials. Alitajwa na kijana yule kama msaada kwake.

Kinachofuata atatumbuliwa kisha ataundiwa zengwe. Mwisho wake umewadia.Biashara "kwishney" mambo mpelampela familia inaanguka. Kijana yule kajipangaje? Waajiriwa je?

Swali langu la kila siku. Kwanini wanawachukua kimafia?
kwell
 
Maskini ndugu yangu naona Mwisho wake wa kuhudumu Unakaribia karibia. Inawezekana mhindi alionekana kutaka kumfadhili marope 2020 kura za maoni sasa kamsababishia mwenzie tafrani
Sielewi huu uzi, nieleweshe dada angu
 
Mzee, hapa ingekuwa China wote hao hadi yule mzee mvi wangewashwa moja kwa moja bila hata ya kwenda jela kula ugali wa bure.
Kwa hapo Wachina wako vizuri. Yaani hata wa Kivuko kibovu asingepata nafasi ya kukigeuza kuwa B.52!!
 
Baada kugonga ukuta wa koromije bila mafanikio sasa mnarudi tena kule kule mlikoshindwa enzi za mzungu. Bumbuli sio kwa kujaribu kule ni bora mkajaribu hai.
Waziri mzima kukamatwa na Polisi kisha wakabadilisha maana ya ukamataji na kuita "kuitwa polisi" unaona ni jambo la kawaida!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom